Unahakika na unachokisema? Ni kwanini washindwe? Bentley chini ya mwamvuli wa VW ambao tayari wanatengeza SUV best selling Duniani kama VW Toaureg, Audi Q5 &Q7, Porsche Cayenne, Porsche Macan n.k ni swala la kuhamisha teknologia tu!
Kwa kifupi sasa kampuni nyingi zinaingia kwenye SUV segment kwa kuwa zinauzika sana sasa hivi Aston Martin wanakuja na SUV, Maserrati wanakuja na SUV hata Rolls Royce wanakuja na Rolls Royce Cullinan chini ya mwamvuli wa BMW sasa hao wote hawawezi kuwa vipofu na wajinga kiasi hicho wanajua wanachokifanya!
Hizi ni gari ambazo zinatengenezwa kwa matajiri wapya wa Uchina na siyo wabunge wa TanZania!