The mountain lion
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 1,153
- 418
Kwa kweli haivutii kabisa.Range rover ni mnyama.
Mbona unarudia yale yale vunguka kivipi? Nimekuuliza hiyo level ya Range rover ambayo Bentley haitifikia ni ipi?
Haita fika level za range rover sababu hilo bentley lipo kwenye class ya luxury vehicle wakati range rover lenyewe ni SUV kwa kifipi ni kama vile umefananisha marx x na suzuki escudo, hilo bentley litafananishwa na maybach sababu zipo class sawa umeelewa sasa level zinatofautisha na targetted customers maana hilo bentley ni design ya ma executives hivi nini na neeeeneee
Naamini watu wanaobisha hapa wamewahi endesha haya magari tajwa... hata hilo la concept!!!
Hebu nipe habari za Jeremy Clarkson wa top gear nilisikia katimuliwa
Hiyo SUV ya Mercedes Benz nimeielewa sana.
Marcedes wameamua kutoa SUV ya kucompte na BMW ya X series kama X6
Point of correction Mr......zote ni luxury...Sema range ni luxury SUV
Nimekusoma mkuu ila mfano umeeleweka nafikiri
Hicho kitu kimetulia sana sema naona umbo limefanana sana hiyo BMW X6.Haiwezi leta mtafaruku.kisheria kweli maana naona kuna ku-copy hapo.
Hummer especially H2 haiwezi ku-challenge range kweli
Kuilinganisha Hammer na RR ni sawa na kuifananisha Simba Sports Club na Real Madrid.Hummer ni military vehicle kaka, haikutengenezwa kwa nia ya kuwa luxury SUV ila ubishi wa binadamu wameigeuza kuitumia ki-luxury. Hata hvyo hizi hummer 3 hazina nguvu kwenye milima hasa kwenye zile barabara mbaya zaid.