Bentley Bentayga, Range Rover Killer!

Bentley Bentayga, Range Rover Killer!

Bado unachanganya mambo! Soma vizuri sijasema kwamba Touareg ni best selling SUV bali nimesema SUV za VW ni best selling Duniani yaani ukichukua Audi Q5,Q7, Porsche macan, Porsche Cayenne n.k Range Rover ni SUV yenye sifa za off road na luxury hilo halina ubishi lkn SIYO Best selling SUV Duniani na kuna sababu nyingi na mojawapo ni reliability range rover haina reliability sana, kuna resale value, hayo yote yanachangia lakini bado hakuiondelei Range Rover kuwa SUV inayoongoza kwa offroading na luxury kwa ujumla kwenye segment ya SUV kwa sasa!

Kwahio kifupi hapa VW na msururu wote huo uliotajwa kashindwa kui beat RR! Then huyyo huyo VW aje na bio SUV bentley kui beat RR...labda atumie british backbone coz yeye as VW kashindwa kupitia hizo ulizotaja hapo.
 
Range rover ina milikiwa na mhindi siku hizi (Tata).Very soon wata badilisha jina kuwa (range rover tata), nimeona kwenye mashine za Hitachi siku hizi zinaitwa Hitachi tata.

ila Range rover rhumor ni kiboko yao
 
Embu ngoja kwanza tuwekane sawa maana naona kama tunaongelea mambo mawili tofauti na tunaenda nje ya mada! Hakuna mahali nimeshindanisha sijui British car na VW na wala ktk post zangu hakuna mahali nilipotaja british car!
Bali nilichosema ni kwamba Bentely ambayo inamilikikwa na Kampuni ya VW wanakuja na SUV ambayo itakuwa ni mshindani wa Range Rover ( na hayo siyo maneno yangu bali expectations ya car industry yote) ambaye mpaka sasa hivi kulikuwa hakuna Makampuni yaliyowekeza kwenye hiyo segment ya Over sized SUV kama Range Rover makampuni mengi ya Ulaya yamekuwa yakitengeneza mid sized SUV kwa kuwa ndiyo soko lao kubwa lilipo, lkn sasa kutokana na kukuwa kwa China soko la haya magari ya over sized SUV limekuwa kubwa na ndio makampuni yote yanaanza kutengeneza over sized SUV na Range rover kupata mpinzani ndicho nilichomaanisha na wala sikuongelea mambo ya british car industry sijui huko kwingine kabisa!
 
attachment.php
MANENO IKO HAPA TU, ZUNGUKENI KOOTE LAKINI HAPA!!? ACHENI TU. ONE DAY YES.

Inshallah hakuna kumbwa Kwa Mungu..
 
Embu ngoja kwanza tuwekane sawa maana naona kama tunaongelea mambo mawili tofauti na tunaenda nje ya mada! Hakuna mahali nimeshindanisha sijui British car na VW na wala ktk post zangu hakuna mahali nilipotaja british car!
Bali nilichosema ni kwamba Bentely ambayo inamilikikwa na Kampuni ya VW wanakuja na SUV ambayo itakuwa ni mshindani wa Range Rover ( na hayo siyo maneno yangu bali expectations ya car industry yote) ambaye mpaka sasa hivi kulikuwa hakuna hakuna Makampuni yaliyowekeza kwenye hiyo segment ya Over sized SUV kama Range Rover makampuni mengi ya Ulaya yamekuwa yakitengenza mid sized SUV kwa kuwa ndiyo soko lao kubwa lilipo, lkn sasa kutokana na kukuwa kwa China soko la haya magari ya mid sized SUV limekuwa kubwa na ndio makampuni yote yanaanza kutengenza Super sized SUV na Range rover kupata mpinzani ndicho nilichomaanisha na wala sikuongelea mambo ya british car industry sijui huko kwingine kabisa!

Na ndio na mimi natoa maoni yangu,huyo anaetaka kutoa mpinzani wa RR kashindwa na msururu wake wa SUV....unless uniambie Q7 haiko class moja na RR...labda sasa hivi watafanikiwa kwa kutumia backbone ya british motor Bentley!
 
Kampuni ya Volkswagen (VW) ambayo ndiyo Kampuni ya pili kwa Ukubwa Duniani baada ya Toyota kwa uundaji wa magari wanakuja aina Mpya kabisa ya gari aina ya Bentley Bentayga ambayo ndiyo itakuwa mshindani Mkubwa wa Range Rover ambaye mpaka sasa hivi amekuwa kama vile hana mshindani kwenye medani za SUV!
VW watazindua Bentley Bentayga hapo mwezi Septemba 2015!

Hizo picha ni concept tu ya jinsi labda itakavyokuwa kwani mpaka sasa hivi hakuna aliyeiona hiyo mashine ya Ukweli!

Mkuu hii bentley inafanana na avatar yako!! Inabidi wajipange designing!
 
Na ndio na mimi natoa maoni yangu,huyo anaetaka kutoa mpinzani wa RR kashindwa na msururu wake wa SUV....unless uniambie Q7 haiko class moja na RR...labda sasa hivi watafanikiwa kwa kutumia backbone ya british motor Bentley!

Bado unachanaganya mambo VW au kampuni yoyote ile ya Ulaya iwe Renault, Volvo, Mercedes, BMW n.k hawajawahi kutengenza SUV yenye kushindana Range Rover bali wote hawa wamekuwa wakitengeza mid sized SUV kwa sababu ndizo kundi la SUV linazouza sana na Audi Q7 haiwezi kuwa daraja la Range Rover na haijatengenezwa kwa ajili hiyo Q7 inashindana na Volvo x 60, BMW X5 Land, Porsche cayenne, Jeep Grand Cherokee, Rover Discovery n.k Audi ambayo itakuwa inashindana na Range Rover na wengineo itakuwa Q9 ambayo iko mbioni pia lakini Siyo Q7!
 
Hata watumie backborne ya muingereza lakini class ya RR ni kwingine kabisa. Toyota ndo kampuni kidogo inaweza kufikia au kukaribia RR
 
Range rover ina milikiwa na mhindi siku hizi (Tata).Very soon wata badilisha jina kuwa (range rover tata), nimeona kwenye mashine za Hitachi siku hizi zinaitwa Hitachi tata.

ila Range rover rhumor ni kiboko yao

Mkuu hiyo kampuni kiboko. Ameiendesha ford, bmw na sasa tata. Si ajabu miaka mitatu ijayo ikachukuliwa na mwingine. Lakini gari zao hazishuki ubora
 
So far hiyo ni kama cross over au mini SUV kama za Subaru Forester, Honda CRV au Porsche Macan. Hii bentley iweke kundi hili.

Unapoongelea Range Rover unaongelea Luxury levels za Rolls Royce, interms of power hata VX V8, Nissan Patrol au Chevrolet Suburban ni cha mtoto kwa Range Rover.

Range Rover is a combination of power and comfort. Kulinganisha na hyo Bentley hapo ni matusi makubwa sana.

Hata jamii za Land Rover hiyo gari haiwezi kuingia, huwezi ilinganisha na Evoque, Discoveries, Range Sport, Freelander.

RRS Hakunaga!!

Sikia tu habari zake, ukiitumia hutaacha!
 
Khaaaaaa 400m...kuna mid-sized SUV ambazo hata appearance yake inavutia kuliko hiyo kama bmw x6

Hiyo ni mid sized unajua tena British wanajidai sana kwa product zao, kwa hilo gari zao za uhakika ni handmade. Kwa hiyo bei ni poa sana.
Halafu hii itatoka mwakani.
 
Bado unachanaganya mambo VW au kampuni yoyote ile ya Ulaya iwe Renault, Volvo, Mercedes, BMW n.k hawajawahi kutengenza SUV yenye kushindana Range Rover bali wote hawa wamekuwa wakitengeza mid sized SUV kwa sababu ndizo kundi la SUV linazouza sana na Audi Q7 haiwezi kuwa daraja la Range Rover na haijatengenezwa kwa ajili hiyo Q7 inashindana na Volvo x 60, BMW X5 Land, Porsche cayenne, Jeep Grand Cherokee, Rover Discovery n.k Audi ambayo itakuwa inashindana na Range Rover na wengineo itakuwa Q9 ambayo iko mbioni pia lakini Siyo Q7!

Kwahio wewe unaangalia body size?! Kwasababu ukija kwenye number of seats zote ulizotaja ziko saw a,ukija kwenye engine wote wana options almost sawa,kama uko Europe most zina road license class moja kwasababu wanaangalia engine size sio ukubwa wa body ambao zinazidiana few centimeters.

Halafu hio Volvo X60 imetoka lini? Mimi najua kuna Volvo s60 na Volvo XC60 ambayo ni small SUV kubwa yake ni Volvo XC90.
 
umesahau kuwa wewe ndiyo utakuwa dereva wetu....afu mimi na mme wangu tunakaa nyuma unatupeleka kazini na kuturudisha.....

sawa nitawaendesha huko huko ndotoni
 
Kampuni ya Volkswagen (VW) ambayo ndiyo Kampuni ya pili kwa Ukubwa Duniani baada ya Toyota kwa uundaji wa magari wanakuja aina Mpya kabisa ya gari aina ya Bentley Bentayga ambayo ndiyo itakuwa mshindani Mkubwa wa Range Rover ambaye mpaka sasa hivi amekuwa kama vile hana mshindani kwenye medani za SUV!
VW watazindua Bentley Bentayga hapo mwezi Septemba 2015!

Hizo picha ni concept tu ya jinsi labda itakavyokuwa kwani mpaka sasa hivi hakuna aliyeiona hiyo mashine ya Ukweli!

RR ipo juu watasubiri sana
 
Back
Top Bottom