Akiongea na redio one asubuhi hii, Prf Benson Bana, Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amesema Watanzania kwa sasa wanahitaji kiongozi mwenye maadili safi.
Wakati tunajiandaa na kupokea serikali mpya ni vema juhudi,busara binafsi zikatumika katika kuhakikisha Taifa linapata kiongozi msafi ambaye atakuwa ni chachu ya maendeleo.
Hata hivo vijana katika vyama husika nao amewaasa kupunguza mihemuko ya kisiasa,watangulize maslahi mapana ya Taifa, wakatae kununuliwa na hatimaye wafanye uchaguzi sahihi.