jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
eti "maslahi mapana ya kitaifa" uchumi ukididimia hawayaoni maslahi mapana ya kitaifa!!! wakitu ESCROW Dr. Bana haoni maslahi mapana ya kitaifa. Nyumba za serikali zikiuziwa mahawara wa watumishi wa serikali Dr. Bana anavaa miwani ya mbao!!!!
NI KOSA KUBWA KUMTUMAINI MSOMI WA TANZANIA
NI KOSA KUBWA KUMTUMAINI MSOMI WA TANZANIA