Benson Bana: Taifa linahitaji kiongozi mwenye maadili

Benson Bana: Taifa linahitaji kiongozi mwenye maadili

Neno maadili kwa sasa ni sumu ndani ya kambi ya Lowassa.

Hawataki kabisa kusikia mtu akisema neno maadili kama kigezo cha kuchagua mgombea Urais.

Ebu nidhibitishie hilo neno linavyomtenga mgombea wa ccm maana umekimbilia kunyooshea kidole upande mmoja wakati mimi najua maadili ni pamoja na kuheshimu na kuenzi familia yako kwa kuwa na mke mmoja kama ulivyoapa siku ya ndoa teh teh hapa unasemaje?
VIVA UKAWA!!!
 
Mimi ndio nimemtaja Magufuli na tena nasema ni mwizi tu ambae amepewa jukumu la kuokoa chama cha majizi,ufisadi wa Magufuli ni mkubwa kuliko wa Lowassa na Chenge!!

Magufuli kagawa majumba ya serikali kwa bei ya nyanya masalo,nyumba 8000 ukizidisha japo kwa 50 million ni sawa na kiasi gani?!!

Magufuli kasimamia ujenzi wa barabara za biscuits ambapo kipindi cha Mkapa 1km ilikuwa ni 800 mln ila sasa 1.2 billion,wizi mtupu!!!

Magufuli aliyepora Makao Makuu ya Wilaya na kuyapeleka kijijini kwake sio fisadi?!

Magufuli aliyepindisha ujenzi wa barabara na kupeleka kwake huku kijjijini kwao Chato akiweka hadi traffic light ili hali kuna jiji kama Tanga ambalo halina hata traffic light moja sio wizi huo na ufisadi?!!

Kama kusalimia wattu kwa kimakabila hata mimi naweza kuliko msanii Magufuli

Kimasai-yero sabai,takwenyaa!!

Kidigo-Ukaramkaze,usaberwa?!

Kinyakyusa-ulinkafu?! Twa kukaya I kyela?! Ndaga,ena!!

Kisambaa-Mgosi kwenuka zeze? Na wandere na wabwanga?! Ooh tate nane Lowassa oyeee!!!

Kisukuma-Mwangaruka ngosha,ulimora?! Wabeja mwanawane!
!
Na hapo bado kichaga,kipare,kimanyema na hata kizindawe ila hatutaki raisi Kasuku anayeleta maigizo ya ukasuku na kukariri hadi anatoa mapovu!!!

Na kama push up naweza kupiga hata kwa mkono mmoja au kwa kusimamisha uume tu pasi mikono,tumchague Magufuli kwa lipi na CCM yake?!!
Unazidi kupanic! Hoja iliyoko mezani ni kutumia kigezo cha maadili katika kuchagua Rais, wabunge na Madiwani.

Unaendelea kuleta maelezo marefu yaliyojaa kelele ambayo hayana hata hoja mbadala.

Eti tumchagua magufuli kwa lipi. Mumchague wewe na nani?

Unawaweka wananchi wengine kwenye mwanvuli wa fikra zako wakati kura ni siri ya mpiga kura. Jisemee nafsi yako.
 
Unazidi kupanic! Hoja iliyoko mezani ni kutumia kigezo cha maadili katika kuchagua Rais, wabunge na Madiwani.

Unaendelea kuleta maelezo marefu yaliyojaa kelele ambayo hayana hata hoja mbadala.

Eti tumchagua magufuli kwa lipi. Mumchague wewe na nani?

Unawaweka wananchi wengine kwenye mwanvuli wa fikra zako wakati kura ni siri ya mpiga kura. Jisemee nafsi yako.

msemajiMnafiki hakika wewe mnafiki,anayehutubia na kusalimia kwa lugha za makabila ni Magufuli,sio kelele na ukabila ila mimi kutaja upuuzi wa Magufuli napiga kelele?!

Anayeppiga push up na kucheza mapanga majukwaani ni Magufuli,mimi kuonyesha usanii wake napiga kelele?! Huna hoja!!
 
Last edited by a moderator:
Akiongea na redio one asubuhi hii, Prf Benson Bana, Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amesema Watanzania kwa sasa wanahitaji kiongozi mwenye maadili safi.

Wakati tunajiandaa na kupokea serikali mpya ni vema juhudi,busara binafsi zikatumika katika kuhakikisha Taifa linapata kiongozi msafi ambaye atakuwa ni chachu ya maendeleo.

Hata hivo vijana katika vyama husika nao amewaasa kupunguza mihemuko ya kisiasa,watangulize maslahi mapana ya Taifa, wakatae kununuliwa na hatimaye wafanye uchaguzi sahihi.

Benson bana (the master of political science)
Yupo sahihi

Tz unahitaji kiongoz mwenye MAADILI(magufuli) na sio MADILI(lowasa)
 
Yule mpiga push up na mcheza mapanga majukwaani aliuza nyumba za serikali zaidi ya 8200 tena nyingi zikiwa maeneo ya uzunguni kwa bei ya nyanya masalo,ana maadili na usafi?!!

Magufuli anayejenga barabara kwa zaidi ya 15 miaka huku barabara zikiwa za hovyo na ghali ndio muadilifu?!! Ushahidi angalia barabara za Chalinze hadi Mlandizi ni kama bonde la mpunga!! Angalia barabara ya kabla ya Mikumi,Mikumi na hadi karibu na mlima Kitonga,ni kama reli chakavu!!!

Magufuli ambae amemfanya mkewe ajifiche na kuukataa hata ufesti lady kwa kukataa kushiriki kumuombea mmewe kura ndio muadilifu?! Muadilifu ambae anavunja hata taasisi yake ya ndoa kwa Keby's Hotel bin Kabula?!! Kama push up tu basi hata makuli na mateja wanaweza kupiga hata 100,Mabadiliko hayataki wasanii wa kucheza mapanga na push up!!!

Ni udhaifu kung'ang'ania hoja dhaifu ya nyumba ambayo mr zero alishaijib vzuri

You got no points?
Shutin up your mouth is the best ship home!!!!
 
Kweli?

Tupeni basi rasimu ya Warioba ambayo kuna maadili mengi tunayotaka.

Rasimu ya warioba?

Sasa inatuhusu nn kama n rasimu ya warioba yeye na familia yake?

Tunaongelea mambo ya taifa zima

Umenielewa dada yangu
 
JK alikuwa msafi wakati anaingia madarakani.

Sasa hivi ni kimeo.
 
JK alikuwa msafi wakati anaingia madarakani.

Sasa hivi ni kimeo.

Jk huyohuyo leo anamaliza uongoz wake akiwa ana uwezo wa kukimbia kuzunguka uwanja wa mpira kwa speed

Lakin kuna mgombea hata kushika maik hawez na hajaingia madarakan bdo!!!!!!
 
Na kiongoz msafi na mweny maadili ni J.P.Magufuli tu kw sasa, 2tamchagua tu maana hamna namna nyingine sasa
 
"...Madini makubwa makubwa nitawapa watu wakubwa wakubwa..."
Edward lowasa

Ama kweli hana maadili
 
".......bukoba nitahakikisha mnapata soko la kahawa nchi za jiran kama rwanda (kwa rafiki yake kagame) na burundi..." edo ngoyai lowasa

".......Tanzania ya magufuli itakuwa n Tanzania ya viwanda.....wana bukoba nitawajengea kiwanda hapa bukoba cha kusindika mazao yenu na hivyo kutatua suala la soko na ajira..."
Daktari msomi mkemia, John p magufuli
Rais wa awamu ya tano


Acha ushabiki
Tafakari....
Chagua magufuli oktoba 25
 
maghufuli ndio rais wa Tanzania hata ukiwa wakishida watuwezi kumpa nchi MTU ambaye hayuko physically and mentally fit.
 
Ufisadi wa Magufuli uko wazi sana. EL alibambikiziwa ufisadi wa mkwere kuokoa jahazi. km unabisha muulize Mwakyembe.
 
Ufisadi wa Magufuli uko wazi sana. EL alibambikiziwa ufisadi wa mkwere kuokoa jahazi. km unabisha muulize Mwakyembe.

Kama uko chumban toka nje alafu muulize mtoto yeyote utakaekutana nae hapo nje kwamba nani fisadi Tanzania?

Atakuambia
LOWASAAAAAAAAA!!
 
".......bukoba nitahakikisha mnapata soko la kahawa nchi za jiran kama rwanda (kwa rafiki yake kagame) na burundi..." edo ngoyai lowasa

".......Tanzania ya magufuli itakuwa n Tanzania ya viwanda.....wana bukoba nitawajengea kiwanda hapa bukoba cha kusindika mazao yenu na hivyo kutatua suala la soko na ajira..."
Daktari msomi mkemia, John p magufuli
Rais wa awamu ya tano


Acha ushabiki
Tafakari....
Chagua magufuli oktoba 25
Magufuli rais wa tanzania nzima
 
Back
Top Bottom