Benson Bana: Taifa linahitaji kiongozi mwenye maadili

Akiongea na redio one asubuhi hii, Prf Benson Bana, Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amesema Watanzania kwa sasa wanahitaji kiongozi mwenye maadili safi.

Wakati tunajiandaa na kupokea serikali mpya ni vema juhudi,busara binafsi zikatumika katika kuhakikisha Taifa linapata kiongozi msafi ambaye atakuwa ni chachu ya maendeleo.

Hata hivo vijana katika vyama husika nao amewaasa kupunguza mihemuko ya kisiasa,watangulize maslahi mapana ya Taifa, wakatae kununuliwa na hatimaye wafanye uchaguzi sahihi.
Yeye ndio ungeacha mihemko kwasababu hakuna muadilifu ccm
 
Neno maadili kwa sasa ni sumu ndani ya kambi ya Lowassa.

Hawataki kabisa kusikia mtu akisema neno maadili kama kigezo cha kuchagua mgombea Urais.

Unamaanisha "kuchagua" au "kuteua"? Kamani kuteua mlishafanya uteuzi wenu, mkateua "mwenye maadili", mna wasiwasi gani? Tunangojea tarehe 25 watanzania tukamchague rais mwenye maadili. Acheni kupata moto, bado siku 14 tu.
 
Wala ukawa hawajatoa povu eti kwasababu ya maadili bali ni kwakuwa inajulikana bana ni wa mrengo upi
 
Akiongea na redio one asubuhi hii, Prf Benson Bana, Mhadhiri mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, amesema Watanzania kwa sasa wanahitaji kiongozi mwenye maadili safi.

Wakati tunajiandaa na kupokea serikali mpya ni vema juhudi,busara binafsi zikatumika katika kuhakikisha Taifa linapata kiongozi msafi ambaye atakuwa ni chachu ya maendeleo.

Hata hivo vijana katika vyama husika nao amewaasa kupunguza mihemuko ya kisiasa,watangulize maslahi mapana ya Taifa, wakatae kununuliwa na hatimaye wafanye uchaguzi sahihi.

Hapo anamzungumzia Magufuli ndo mwenye sifa hizo
 
Ukitamka maadili tu, ukiwa wanatafutana

Maadili ni jambo la msingi ambalo ccm siku zote wametuangusha kwalo! Lakni maadili s ya mtu mmoja bli uwe namfumo unaolzimishaviongozi nawalio chini yao wawe n maadiili. hata hivyo, Benson bana, ni mkuu wa waangalizi wa uchaguzi wa ndani TEMCO, sasa atasemaje hayo? Yaani yeye ni km refa halfu atoe tena maoni yake? namini si kweli, hawawezi kukosa weledi kiasi hiki!
 
Ni kweli kabisa
magufuli ndio mwenye maadili
Na ndie tutamchagua
 
Asante Benson bana
Kwa kutuonyesha hilo
Tumemsikia, Tumemuelewa na tumemkubali magufuli awe rais wetu wetu

Hakika uchapakazi wake uliotukuka ndio tumain la watanzania
 
Maadili kwa viongozi yatapatikana katika katiba mpya. Kuchagua ccm ni kuchagua katiba ya ccm, hakuna kitakachobadilika chini ya serikali ya ccm bali aina ya uongo watakaotupa. Ufisadi utaendelea, tutabaki palepale. Kuna gamba mmoja aliwahi kusema miaka ya nyuma kwamba kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Ndivyo watakavyotuambia tukiwachagua watutawale.
Kuchagua ukawa ni kuchagua katiba mpya, uadilifu utakuwa ni sehemu ya mfumo wa uongozi sababu wananchi wataweza kumwajibisha kiongozi wao muda wowote wanapoona hatimizi aliyoahidi.
Mabadiliko huwa yanakabiliwa na upinzani mkali sana lakini mwaka huu wanaopinga mabadiliko wanazidiwa nguvu siku hadi siku. Viva mabadiliko.
 
Neno maadili kwa sasa ni sumu ndani ya kambi ya Lowassa.

Hawataki kabisa kusikia mtu akisema neno maadili kama kigezo cha kuchagua mgombea Urais.

Na huko kambi ya jirani kusikia maadili ni kama kunusa harufu ya kinyesi.ni hivi juzi tu ufisadi wa mabilioni umeibuliwa na PPRA wizara ya ujenzi.maadili yalishazikwa pamoja na katiba ya wananchi.lowasa ndie rais ajae.ukawa oyee!
 
Magufuli atosha
 
Maadili kwa viongozi yatapatikana katika katiba mpya. Kuchagua ccm ni kuchagua katiba ya ccm, hakuna kitakachobadilika chini ya serikali ya ccm bali aina ya uongo watakaotupa. Ufisadi utaendelea, tutabaki palepale. Kuna gamba mmoja aliwahi kusema miaka ya nyuma kwamba kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Ndivyo watakavyotuambia tukiwachagua watutawale.
Kuchagua ukawa ni kuchagua katiba mpya, uadilifu utakuwa ni sehemu ya mfumo wa uongozi sababu wananchi wataweza kumwajibisha kiongozi wao muda wowote wanapoona hatimizi aliyoahidi.
Mabadiliko huwa yanakabiliwa na upinzani mkali sana lakini mwaka huu wanaopinga mabadiliko wanazidiwa nguvu siku hadi siku. Viva mabadiliko.

Atosha kuongoza ccm mbele kwa mbele kwa ufisadi.lowasa ndie rais ajae.ukawa oyee!
 
Wala ukawa hawajatoa povu eti kwasababu ya maadili bali ni kwakuwa inajulikana bana ni wa mrengo upi

Mkuu usiwape watu faida. Waache wajibizane kwenye thread zao. Ingia kwenye Topic za wana Mabadiliko.
 
Back
Top Bottom