Niko kwa gari wamefungilia TBC kuna huyu kada wa CCM Bensoni Bana anatoa ujinga kwa kusema hakuna haja ya elimu ya kura ya maoni kwani watanzania wana akili timamu, huu ni upuuzi sana tena kwa msomi kana huyu
Dr Benson Alfred Bandio Rugim-
BANA; aka Dr Benson
Bana; kama anavyojulikana hapa Tanzania; Msomi aliyeamua kusigina maadili ya taaluma yake na kuukana uwezo mkubwa wa kufikiri alionao ili kulinda maslahi binafsi; Msomi-Tumbo huyu?! More often than not tafakuri zake huniacha nikiwaza ni kitu gani kilichomsibu kijana huyu?! na sielewi vyopmbo vya habari vinamkaribisha huyu poor msomi kwa nini!
Dr Bana umekuwa muumini na tarumbeta kwa mambo yote yanayowaudhi watanzania; hususani wasomi na middle class yote; umeamua "
kuwafia" mahafidhina; mafisadi, majangili, wahujumu, wala rushwa; makatili; wadokozi wa raslimali za umma wote wa nchi hii kwa kuibeba CCM kiasi hicho?! huna macho wala masikio; hujui tena jema na baya!?; wewe ni tumbo lako tuuu?!
The late Profesa Seith Chachage and Dr Sengondo Mvungi; RIP true Icons of patriotism; must be reeling in their graves!!
If this country had to depend entirely on the likes of this dr. Bana; OMG!! can not imagine where we would be??!! gutter; dump; sewerage; grave; exile; or where??!
dr bana; for those of us who happen to know you; the word
Disappointed is a grave understatement of how we feel about you; sincerely we are A
shamed of your deeds and utterances.