Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake


mpuuzi huyu mangi
 
Msimu tumeshaanza na mahindi tumepanda kwa maelekezo ya serikali,, kuwa tuwahi tuweze kwenda sawa na el nino.

Vocha keshachelewa yeye aje anunue mahindi ya ruzuku kilo moja kwa 18000=/ tu. bei si mbaya sana
Mna huruma sana.Kilo MOJA 18,000/=?Ongezeni kidogo kufidia usumbufu wa vidole kuchubuka.
 
Kwani alifanya kosa gani?

Anyway, huo unyonge wa kipumbavu ndo anaoupenda muuaji Samia.

Anapenda kuombwa radhi hadharani. Ni jambo linalompa furaha na kumfanya ajione ana nguvu nyingi.

Ukweli wa mambo ni hana lolote. Ana akili ndogo. Ni muuaji.

Namchukia sana. Fuq you Samia. Fuq you.
Kwa hiyo tukusaidie nini?
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake


Naona magoti yanapigwaa. Ugali mtamuu
 
Back
Top Bottom