Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
279
Reaction score
640
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake

​
 
Aje tujiajiri week tu ashaona kitaa kigumu
 
Kwa alikosea nini maana ameweka wazi kuwa kuna kosa
 
Kwani alifanya kosa gani?

Anyway, huo unyonge wa kipumbavu ndo anaoupenda muuaji Samia.

Anapenda kuombwa radhi hadharani. Ni jambo linalompa furaha na kumfanya ajione ana nguvu nyingi.

Ukweli wa mambo ni hana lolote. Ana akili ndogo. Ni muuaji.

Namchukia sana. Fuq you Samia. Fuq you.
 
Yaani sielewagi. Yaani mwanaume mzima unalia lia tena hadharani kisa kujipendekeza na madaraka. Ni bora nilie kwa mke wangu aisee
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake

Aliteleza nini?

Aliwakosea Watanzania au alimkosea Rais, au aliwakosea Watanzania na Rais?

Kama alimkosea Rais tu, kwa nini asingemfuata Rais akamuomba radhi yeye in private?

Kama aliwakosea Watanzania pia, kwa nini hakuwaomba radhi Watanzania na kusema alikosea nini?

Kwa nini Watanzania wanasikia mtu anaomba radhi nusunusu, kwa mafumbofumbo, bila kuelewa kisa kamili?
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake

Njoo tupigwe na joto wote huku mtaani acha woga wewe...
 
Kwani alifanya kosa gani?

Anyway, huo unyonge wa kipumbavu ndo anaoupenda muuaji Samia.

Anapenda kuombwa radhi hadharani. Ni jambo linalompa furaha na kumfanya ajione ana nguvu nyingi.

Ukweli wa mambo ni hana lolote. Ana akili ndogo. Ni muuaji.

Namchukia sana. Fuq you Samia. Fuq you.
Jikaze kidogo basi wewe mtoto wa kiume unategemewa na ukute unaitwa baba.. ati fuq fuq huku nyuma pyu pyu uwazi kama ballon ninavuja upepe. fuckn puzzy
 
Back
Top Bottom