Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Beno Malisa amuomba Rais Samia msamaha

Wakiwa na hivyo vyeo wanawasahau wananchi kabisa wanafikiri wanapewa kwa kuwa wana akili nyingi🤪 ona sasa njaa ishaanza kumuondolea akili,atulie kwanza benchi kukosa ni kujipanga upya sio vilio
 
Sijaomba msaada. Na siwezi omba msaada kwa wauaji.

Samia kmamako.
Lengo lako Jamii forum ifungwe tu

Mana Mada msingi wake mwengine wewe unaendelea kutukana wasomaji wa Jamii forum

Mbona wakongwe mmekuwa kama walevi mbwa!!

Ivi unalipwa kiasi gani kutukana pasi na Sababu yoyote Jamii forum

Wasomaji kweli wanavutiwa na kuingia Jamii forum kama wachangiaji wenyewe ni
kutukana Tu
ndio michango yao!!!!

Hakikamatwa na wahuni tutasikia free Nyani free nyani ngabu

Matatizo tunayatafuta kwa gharama kubwaaa kabisa 😳
 
IS NOT EASY OUT THERE....
FB_IMG_1793673265012.jpg
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Beno Malisa, amemuomba msamaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ametambua makosa yake na bado ana nia ya kulitumikia taifa katika nafasi yoyote atakayopangiwa.

Malisa ameyasema hayo leo mkoani Tabora wakati wa makabidhiano ya ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa huo, Angelina Mabula, akieleza kuwa bado ni kijana na mzalendo mwenye dhamira ya kulitumikia taifa.

Aidha, amewahimiza wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia ili aweze kutekeleza majukumu yake ya kuliongoza taifa.

Soma Pia : Beno Malisa atenguliwa Ukuu wa Mkoa wa Tabora, Angeline Mabula achukua nafasi yake

Sonofabitch! Maisha bila kulamba matako ya mazafakas yanawezekana!
 
Na baado, nadhani Malisa angewaomba msamaha kwanza watu wa mkoa wa Mbeya, huyu ana makosa mengi hasafishiki atubu kwa Mungu.
 
Sonofabitch! Maisha bila kulamba matako ya mazafakas yanawezekana!
Hawa wakiwa kilingeni utasikia vijana mujiajiri, vijana muache kutumika, mama katoa fursa nyingi, sasa ona sasa wakitumbuliwa wanabaki kulialia tu si wajiajiri wao wenyewe na hawa watu ni mabilionea nini wanalialia?watu husema mtu mzima ukimtegemea mwanandamu mwenzako kuendesha maisha yako jua basi wewe utakuwa chawa wake tu.
 
Lengo lako Jamii forum ifungwe tu

Mana Mada msingi wake mwengine wewe unaendelea kutukana wasomaji wa Jamii forum

Mbona wakongwe mmekuwa kama walevi mbwa!!

Ivi unalipwa kiasi gani kutukana pasi na Sababu yoyote Jamii forum

Wasomaji kweli wanavutiwa na kuingia Jamii forum kama wachangiaji wenyewe ni
kutukana Tu
ndio michango yao!!!!

Hakikamatwa na wahuni tutasikia free Nyani free nyani ngabu

Matatizo tunayatafuta kwa gharama kubwaaa kabisa 😳
Muuaji Samia kcumamake.
 
Aende akafungue mashamba ya kilimo au akafuge kuku wamayai,ngombe wa maziwa na nyama maana wenyewe wakiwaga viongozi hua wanapaza saut kua masoko yapo na mitaji ipo almashauli
Anasema bado ana nia ya ''kulitumikia taifa''. Kwani kilimo na ufugaji siyo kulitumikia taifa? Hawa watuwamezoea kula vya bure, kwa kupayuka na kutukana wapinzani. Hawawezi maisha ya kufanya kazi. Hlafu kichwa kimekomaa kama jiwe bado anajiita kijana?
 
Jamaa kapauka na dishi lake limeshayumba, aje mtaani akutane na definition ya maisha 😀
Dah!Kiboko yenye kifimbo!
 
Back
Top Bottom