Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,832
Aprili 9, ilizungumzia mradi wakusaidia nchi masikini juu ya kupambana na CoronaVirus, na walitaja athari za kiuchumi zitakazotokana na Covid19 na wakatoa mapendekezo.
Katika taarifa hiyo Tanzania haikutajwa kwa kuwa Benki ya Dunia haikupata hatua ambazo Tanzania ilizichukua. Benki ya Dunia inafanya kazi kwa karibu na kila serikali kuhakikisha hatua zinachukuliwa kuokoa maisha ya watu.