Watumishi wa uma tujiandae kujiongeza au hata kuhamia private sectors sababu tunapoelekea serikali itashindwa hata kulipa mishahara ya wafanyakazi. Tuamke aisee. Upepo huu si wa kitoto jamani
hata asipozungunza, ni upuuzi tu!Gavana wa Benki Kuu (BoT), Prof. Luoga atazungumza na vyombo vya habari mchana huu, kuanzia saa nane, kutokea jijini Arusha.
Hiyo sector binafsi itatoa wapi hela?Watumishi wa uma tujiandae kujiongeza au hata kuhamia private sectors sababu tunapoelekea serikali itashindwa hata kulipa mishahara ya wafanyakazi. Tuamke aisee. Upepo huu si wa kitoto jamani
Bank kuu yasitisha lesini za Maduka yakubadilishia fedha zakigeni Tanzania Nzima
---------------------------
Gov. Bank Kuu
1.Amesema zoezi la jana ni oparesheni ya kawaida ambayo inafanywa na benki kuu
2.Amesema oparesheni hiyo imetokana na kukua kwa biashara hiyo ya kubadili fedha ambayo wengine wa hawajakidhi vigezo
3.Ameelezea kutumia Jeshi ni kwakuwa Polisi walikuwa wanasimamia mitihani ya kidato cha pili
4. Governor Kakataa maswali alivyomaliza kuongea kanyanyuka kaondoka.
Mchumi wa Jamii ForumsKwa kufanya hivyo, naona kama tayari Tanzania imejielekeza kibla kuekea kifo cha Shilingi huku Dollar itapaa kwa kasi ya ajabu kwenye thamani.
Na huu ndio mlango ama rukhsa kwa biashara ya Dollar kuingia rasmi kwenye Black market
Makofi kwa mwenyekiti tafadhali
Mchumi wa Jamii Forums
Nimeipenda hiyo namba 4. It is NOT what has been said that matters, rather what was left un-said. Na ndio sababu ya kutoruhusu maswali.
We are in deep trouble guys.
Ookay, nmepita Florida kweli sijaona askari leo kwenye maduka ya Bureau de change.
kichwa cha mada kirekebishwe, kisome "BOT yasitisha utoaji wa leseni kwa maduka ya kubadilisha fedha", yenye leseni yataendelea na utaratibu kama kawaida
Maduka yote yatatakiwa kutoa TAARIFA Za mapato, kiasi cha fedha za kigeni zilizopo na pia kuomba upya leseni katika mwongozo mupyaaa
BOT watakuja baadae kutoa mwongozooooooo...... YAJAYO hakika yanafurahishaaaa...
Mimi nimiipenda nambari 3!Nimeipenda hiyo namba 4. It is NOT what has been said that matters, rather what was left un-said. Na ndio sababu ya kutoruhusu maswali.
We are in deep trouble guys.
Wapewe mtaji waendeshe wao hayo maduka ni kama vile walivyopewa hela za kununulia korosho
Hahahaa....... Angetoa tu tangazo kwenye gazeti! Hao ndio maprofesa wetu mwishoe tutasema afadhali ya Lipumba!Hovyo kabisa!
Hivi unaongea halafu unakataa maswali unanyanyuka unaondoka kama ulikua unaongea na mbuzi mambo gani haya!
Ndio wasomi tukionao
Mkuu imekwisha ..it's all over ..Ni obvious hatujui tunakoenda ..sasa ushauri wa bure..save kidogo ulichonacho kwenye vibubu...tafuta passport ikae standby tuHivyo kabisa!
Hivi unaongea halafu unakataa maswali unanyanyuka unaondoka kama ulikua unaongea na mbuzi mambo gani haya!
Ndio wasomi tukionao