Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

Ookay, nmepita Florida kweli sijaona askari leo kwenye maduka ya Bureau de change.
 
Watumishi wa uma tujiandae kujiongeza au hata kuhamia private sectors sababu tunapoelekea serikali itashindwa hata kulipa mishahara ya wafanyakazi. Tuamke aisee. Upepo huu si wa kitoto jamani

Bora umeligundua hilo mapema. Ukweli ni kuwa it is just a matter of time yatatimia. Tunarudi enzi za Mzee Ruksa (Mzee Mwinyi awamu ya pili) ambapo mishahara kuipata ilikuwa ni kwa mafungu.
 
Bank kuu yasitisha lesini za Maduka yakubadilishia fedha zakigeni Tanzania Nzima
---------------------------
Gov. Bank Kuu

1.Amesema zoezi la jana ni oparesheni ya kawaida ambayo inafanywa na benki kuu

2.Amesema oparesheni hiyo imetokana na kukua kwa biashara hiyo ya kubadili fedha ambayo wengine wa hawajakidhi vigezo

3.Ameelezea kutumia Jeshi ni kwakuwa Polisi walikuwa wanasimamia mitihani ya kidato cha pili

4. Governor Kakataa maswali alivyomaliza kuongea kanyanyuka kaondoka.

Nimeipenda hiyo namba 4. It is NOT what has been said that matters, rather what was left un-said. Na ndio sababu ya kutoruhusu maswali.
We are in deep trouble guys.
 
Kwa kufanya hivyo, naona kama tayari Tanzania imejielekeza kibla kuekea kifo cha Shilingi huku Dollar itapaa kwa kasi ya ajabu kwenye thamani.
Na huu ndio mlango ama rukhsa kwa biashara ya Dollar kuingia rasmi kwenye Black market
Mchumi wa Jamii Forums
 
Makofi kwa mwenyekiti tafadhali
qRI8Gs7.gif
 
Sasa mzee si total control wanataka. Simply hayo maduka yatakuwa matawi ya BOT
kichwa cha mada kirekebishwe, kisome "BOT yasitisha utoaji wa leseni kwa maduka ya kubadilisha fedha", yenye leseni yataendelea na utaratibu kama kawaida

Maduka yote yatatakiwa kutoa TAARIFA Za mapato, kiasi cha fedha za kigeni zilizopo na pia kuomba upya leseni katika mwongozo mupyaaa

BOT watakuja baadae kutoa mwongozooooooo...... YAJAYO hakika yanafurahishaaaa...
 
Yaani jeshi wapewe mtaji waendeshe wao? Na wengine wale wapi? What a bad idea man. hakuna jeshi dunian linaendesha biashara ya kubadilisha fedha. Kuna mambo muhim ya jeshi kufanya lakin sio haya ya kuendesha biashara.
Itakuwa kinyume na katiba.
Wapewe mtaji waendeshe wao hayo maduka ni kama vile walivyopewa hela za kununulia korosho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom