Kazi Za Jeshi Ni Zipi Na za Polisi Ni Zipi?Na atuambie kwanini wana tumia jeshi la wananchi kufanya kazi za polisi??? Tunaelekea wapi??
Pia atueleze kwanini yuko madarakani wakati anayumbisha uchumi wa nchi... Ni aibu kuiporomosha shs kwa kiasi ilipo fikia. Halafu wana danganya uchumi unakua. Petrol sasa 2500/kwa lita
Nonsense!Taarifa Mpya: Gavana wa Benki Kuu amethibitisha kuwa oparesheni ya kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya kubadilishia fedha jijini Arusha iliendeshwa na Benki yake kwa kushirikisha vyombo mbalimbali vya dola ili kubaini watuhumiwa wa uhalifu wa kutakatisha fedha.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa watuhumiwa waliokamatwa katika zoezi hilo wanahojiwa na hatua za kisheria zitachukua mkondo wake.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa kufuatia askari wengi wa Jeshi la Polisi kuwa katika usimamizi wa mitihani ya kidato cha pili, taasisi yake ilihusisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wasio na silaha ili kuongeza nguvu katika kufanikisha zoezi hilo.
Source:Msemaji Mkuu wa Serikali
mimi naona vizuri tu uzuri minara pacha ina matawi ! fedha haram lazima zitaisha !pini lingine linakujaWewe mbona huelewi? In short kwa sasa Tanzania hakuna bureau de change. Ukitaka hiyo huduma nenda minara pacha.
Duuuh kazi kweli kweliTaarifa Mpya: Gavana wa Benki Kuu amethibitisha kuwa oparesheni ya kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya kubadilishia fedha jijini Arusha iliendeshwa na Benki yake kwa kushirikisha vyombo mbalimbali vya dola ili kubaini watuhumiwa wa uhalifu wa kutakatisha fedha.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa watuhumiwa waliokamatwa katika zoezi hilo wanahojiwa na hatua za kisheria zitachukua mkondo wake.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa kufuatia askari wengi wa Jeshi la Polisi kuwa katika usimamizi wa mitihani ya kidato cha pili, taasisi yake ilihusisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wasio na silaha ili kuongeza nguvu katika kufanikisha zoezi hilo.
Source:Msemaji Mkuu wa Serikali
Mmh reserved polisi wako wapi? Mgambo je?Taarifa Mpya: Gavana wa Benki Kuu amethibitisha kuwa oparesheni ya kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya kubadilishia fedha jijini Arusha iliendeshwa na Benki yake kwa kushirikisha vyombo mbalimbali vya dola ili kubaini watuhumiwa wa uhalifu wa kutakatisha fedha.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa watuhumiwa waliokamatwa katika zoezi hilo wanahojiwa na hatua za kisheria zitachukua mkondo wake.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa kufuatia askari wengi wa Jeshi la Polisi kuwa katika usimamizi wa mitihani ya kidato cha pili, taasisi yake ilihusisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wasio na silaha ili kuongeza nguvu katika kufanikisha zoezi hilo.
Source:Msemaji Mkuu wa Serikali
Habari zilizovunjikaSijui maana ya breaking news,naomba kueleweshwa
Msukule upo?? Kibarua chako cha kufua chupi TRA kinaexpireMchumi wa Jamii Forums
Muulize amiri jeshi mkuu sisi tutakuwa wachocheziMbona maelezo yanaingia kichwani ya kwa Nini Jeshi lilihusishwa. Next!!
Taarifa Mpya: Gavana wa Benki Kuu amethibitisha kuwa oparesheni ya kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya kubadilishia fedha jijini Arusha iliendeshwa na Benki yake kwa kushirikisha vyombo mbalimbali vya dola ili kubaini watuhumiwa wa uhalifu wa kutakatisha fedha.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa watuhumiwa waliokamatwa katika zoezi hilo wanahojiwa na hatua za kisheria zitachukua mkondo wake.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa kufuatia askari wengi wa Jeshi la Polisi kuwa katika usimamizi wa mitihani ya kidato cha pili, taasisi yake ilihusisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wasio na silaha ili kuongeza nguvu katika kufanikisha zoezi hilo.
Source:Msemaji Mkuu wa Serikali
kweli mkuu umenena vyema kabisa hongera sana kwa kuona hilo point ya msingi kabisa! mtandao wa mzee wa msoga na jasus yule wa mtama na friend of yule aliyesema akishindwa anaenda kuchunga ngo'mbe hawa ndio wanaofanya haya kwa sabab haikuwa chaguo lao makundi hayo ndiyo yanamsumbua jpm ambaye hakuwa na mtandao wowote ndani ya chamaccm walifanya majaribio ya kukabidhi nchi ila mi simlaumu jiwe sana hii ni kikwete kuyaacha makundi ndani ya chama hizi ndizo athari zake.
Mitaarifa isiyo na tarehe could be revoked anytime in tz, utasikia sio tamko letu, wameghushiGavana wa Benki Kuu (BoT), Prof. Luoga atazungumza na vyombo vya habari mchana huu, kuanzia saa nane, kutokea jijini Arusha
==========
Gavana wa Benki Kuu amethibitisha kuwa oparesheni ya kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya kubadilishia fedha jijini Arusha iliendeshwa na Benki yake kwa kushirikisha vyombo mbalimbali vya dola ili kubaini watuhumiwa wa uhalifu wa kutakatisha fedha.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa watuhumiwa walipkamatwa katika zoezi hilo wanahojiwa na hatua za kisheria zitachukua mkondo wake.
Gavana Luoga amesisitiza kuwa kufuatia askari wengi wa Jeshi la Polisi kuwa katika usimamizi wa mitihani ya kidato cha pili, taasisi yake ilihusisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wasio na silaha ili kuongeza nguvu katika kufanikisha zoezi hilo.
Umewaza nini kaka yangu? Haya nafikiri alouliza majibu kayapata.Habari zilizovunjika
hahaha..kwamba kakataa maswali..duuh...sasa kwa nn aliamua kuita press...?Bank kuu yasitisha lesini za Maduka yakubadilishia fedha zakigeni Tanzania Nzima
---------------------------
Gov. Bank Kuu
1.Amesema zoezi la jana ni oparesheni ya kawaida ambayo inafanywa na benki kuu
2.Amesema oparesheni hiyo imetokana na kukua kwa biashara hiyo ya kubadili fedha ambayo wengine wa hawajakidhi vigezo
3.Ameelezea kutumia Jeshi ni kwakuwa Polisi walikuwa wanasimamia mitihani ya kidato cha pili
4. Governor Kakataa maswali alivyomaliza kuongea kanyanyuka kaondoka.
Duuuu ... Hii sababu imeniacha hoi ...Wamesema sababu Polisi wapo wanasimamia mitihani..