Benki Kuu (BoT), yasitisha leseni za maduka ya kubadilishia fedha za kigeni Tanzania

Hahaha anayetakiwa kuwachunguza watakatisha fedha ni BoT au Askari?

Wanaotakiwa kuwahoji watuhumiwa ni Askari au BoT?

Ilianza na TANESCO kuwa na Kitengo Kazi leo BoT wana mamlaka ya Kijeshi na Kimahakama.
 
Du!Black market officially opened , Kifo cha Tz shilling. Mke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake.
Ndio maanakee .ataa hicho kidogo kilicho kua kinapatikana kitapotea .yetu macho .Mpaka hapo Lorry litakaposimamia
 
Taarifa Mpya: Gavana wa Benki Kuu amethibitisha kuwa oparesheni ya kufanya ukaguzi katika baadhi ya maduka ya kubadilishia fedha jijini Arusha iliendeshwa na Benki yake kwa kushirikisha vyombo mbalimbali vya dola ili kubaini watuhumiwa wa uhalifu wa kutakatisha fedha.

Gavana Luoga amesisitiza kuwa watuhumiwa waliokamatwa katika zoezi hilo wanahojiwa na hatua za kisheria zitachukua mkondo wake.

Gavana Luoga amesisitiza kuwa kufuatia askari wengi wa Jeshi la Polisi kuwa katika usimamizi wa mitihani ya kidato cha pili, taasisi yake ilihusisha askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wasio na silaha ili kuongeza nguvu katika kufanikisha zoezi hilo.

Source:Msemaji Mkuu wa Serikali
Zabernism at its best
 
Hii ni hatua nzuri, tudhibiti fedha haramu na biashara haramu kwa manufaa ya nchi, hilo zoezi liendelee pia kwa wakwepa kodi nchi nzima
we POYOYO unafkiri watu wanapenda kukwepa kodi! tatizo ni kodi zisizo na vipimo! mtu anafungua kibanda cha kuuza vocha mtaji laki 4 unakuja kumwambia BANGO 120,000, Leseni 80,000! TRA 100,000 , hajalipa pango, na bado unakuja na leseni ya zima moto 40,000!


mnafikriaga kwa kutumia ma.ta.ko ndii maana
 
Huu mpango wa kuwashirikisha hawa wanajeshi ipo
siku na wao watanogewa na kazi za kijamii
...kwani hujawaona Makatibu Wakuu, Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi wa Taasisi za Umma.
Bila kusahau Kikwete alikuwa Lt Kanali, Kinana ni Kanali, Captain Mkuchika, Captain Lowassa. Hivyo acha hisia za uchochezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom