GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,844
- Thread starter
- #21
🙏🙏🙏Kaweke UTT mkuu,mfuko wa bond fund.
🙏🙏🙏Kaweke UTT mkuu,mfuko wa bond fund.
🙏🙏🙏Faida inategemea kiwango chako cha mtaji ulicho deposit.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
🙏🙏🙏Kawekeze UTT-AMIS
🙏🙏🙏TCB wanatoa 11%.
Which means Kwa mwaka utapata 11m.
😃Mawazo kabla ya kupata hela yenyewe...
Ikiingia sasa..hehehe
🙏🙏🙏Mfano ukiwekeza 5M kwa mwezi unapata 60k, kwa mwaka 720k.
N. B: Inategemea na mfuko uliowekeza kwa maelezo zaidi wacheki UTT kwenye accounts zao za Instagram na twitter au kwenye website yao.
Wewe umeniwahiKaweke UTT mkuu,mfuko wa bond fund.
🙏🙏🙏Weqe umeniwahi
Mkuu mchongo ushatiki?Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi?
Asante![]()
Hebu acha basi hayo mkuu🤣
Achana na bank nenda kaweke utt kwakuwa una pesa nying kaweke bond fund hutojutaEndapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi?
Asante![]()
Dah mkuu waswahili wanasema macho kuona, usituache kwenye ufalme wakoHebu acha basi hayo mkuu![]()
