GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,648
- 10,843
Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi?
Asanteš
Asanteš
Faida haifiki hata milioni kumi kwa mwakašWengi Wanacheza 6% mpk 8% kwa mwaka
Bora utt amis!!?Nje ya mada:
Fixed Deposit Ni biashara kichaa
Unaye muuliza ana uelewa nayo?Bora utt amis!!?
Nieleweshe mkuuUnaye muuliza ana uelewa nayo?
Kwanin?Nje ya mada:
Fixed Deposit Ni biashara kichaa
Faida inategemea kiwango chako cha mtaji ulicho deposit.Faida haifiki hata milioni kumi kwa mwaka![]()
Kwani mtu awekeze UTT -AMIS?Kawekeze UTT-AMIS
TCB wanatoa 11%.Endapo nitaweka million 100 fixed account kwa mwaka 1, nitapata faida shilingi ngapi?
Asanteš
Mfano ukiwekeza 5M kwa mwezi unapata 60k, kwa mwaka 720k.Kwani mtu awekeze UTT -AMIS?
Hujui unacho ongea ndugu, hakuna kutu kama hichoMfano ukiwekeza 5M kwa mwezi unapata 60k, kwa mwaka 720k.
N. B: Inategemea na mfuko uliowekeza kwa maelezo zaidi wacheki UTT kwenye accounts zao za Instagram na twitter au kwenye website yao.
Sawa ndugu.Hujui unacho ongea ndugu, hakuna kutu kama hicho
šNje ya mada:
Fixed Deposit Ni biashara kichaa