marehemu hawezi kujua tena....
"Amevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo ameumaliza, BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe na Apumzike kwa amani"Ni vizuri sana kuwa na busara ya kuacha kutumia vifo vya watu wengine kwa malengo ya kijenga hoja za kisiasa bila uthibitisho wake. Wote tunatembea na vifo vyetu viganjani mwetu. Tusubiri facts kwanza halafu ndipo tuzichambue
Shida ipo maana unadhani basi wema ukitendwa kwa watu hawatakuwepo wa kukusema vibaya.
Ilihali unajua fika hata Mungu ainyeshapo mvua kuna mama mjamzito anatembea kwenda hospitalini pasipokuwa na mwamvuli.
Salaam.
Kwakuwa namba witiri ndizo utangaza vifo vya namna hii basi namba witiri 7 ijiandae kutangaza namba witiri.
marehemu hawezi kujua tena....
Haya.Usifanaize Mungu na binaadamu dhaifu anakwenda chooni
Shida ipo maana unadhani basi wema ukitendwa kwa watu hawatakuwepo wa kukusema vibaya.
Ilihali unajua fika hata Mungu ainyeshapo mvua kuna mama mjamzito anatembea kwenda hospitalini pasipokuwa na mwamvuli.
Salaam.
Anzia kusoma nilipokuqoute labda utaelewa.Hoja yako ni nini hapa, hebu tuanzie hapo ili nijue mwelekeo.
Binafsi pamoja na mazuri mengine mengi aliyoyafanya nitamkumbuka zaidi katika utawala wake alivyodhiditi mfumoko wa bei. Bidhaa mbalimbali katika utawala wake hazikupanda hata kidogo na hata baadhi kushuka bei. Thamani ya fedha ilionekana.
Pumzika kwa amani mzee wetu.
Kwa ugonjwa gani
Mtu kuonekana "mzima" inahusiana vipi na kuwa na afya?Aisee.. Kwenye hotuba ya Dodoma alionekana mzima kabisa..
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.. Amina
Sio mmNi muda tu umefika.
Kila mtu hapa duniani ni mgonjwa..
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Mgodi wetu wa makaa ya mawe Kiwira urudishwe kwa wananchi tafadhali