Benjamin William Mkapa Rais aliyeamini katika Ujenzi wa mifumo

Benjamin William Mkapa Rais aliyeamini katika Ujenzi wa mifumo

huyu alikua anaenda na wakati kwa kila jambo, alifikia kipindi aliona nchi inafaa kua na liuwanja likubwa LA mpira likajengwa, sina uhakika kama ilikua ni ndege au rada, alisema hata tukila nyasi lazima kitu inunuliwe,
 
Ujumbe murua wa viongozi wengi waliofanya kazi na hayati Benjamine William Mkapa wamemwelezea kama kiongozi aliyekuwa haingilii mjukumu yao alikuwa anafanya shughuli zake. Je hili sio jiwe gizani!!

Ndipo wajanja walipotumia mwanya huo kumbebesha zigo la Kiwira
 
huyu alikua anaenda na wakati kwa kila jambo, alifikia kipindi aliona nchi inafaa kua na liuwanja likubwa LA mpira likajengwa, sina uhakika kama ilikua ni ndege au rada, alisema hata tukila nyasi lazima kitu inunuliwe,

Yakula nyasi hakusema Mkapa; he was too decent to say such nonsense!! Hayo maneno yalisemwa bungeni na waziri wake wa fedha Basil Pesambili Mramba!!
 
Alikia alikua ..mtu akifa (alikua) zina kuaga nyingi kweli duh
 
Yakula nyasi hakusema Mkapa; he was too decent to say such nonsense!! Hayo maneno yalisemwa bungeni na waziri wake wa fedha Basil Pesambili Mramba!!
OK sasa sawa, ilisikika sana kwenye utawala wake hio kauli
 
Mkapa alikuwa na imani na wateule wake; walimuheshimu na hawakuwa wanamuogopa. Aliweza kuwapa confidence iliyoufanya utawala wake ulete maendeleo ya nchi bila wananchi kuteseka.

Mkapa aliweza kuleta uwiano kati ya maendeleo ya watu na vitu!!!
Hakuna awamu tuliyoteseka wafanyakazi wa mashirika ya umma yaliyo binafsishwa kama awamu ya Mkapa, alikuta mashirika ya Umma mangapi na aliacha mangapi, Waziri hana uwezo wa kuuza nyumba za serikali bila kibali cha mkuu wa nchi, kaharibu haribu kaondoka watu wanasifia kiwanja cha mpira, walioboreshewa maisha ni wafanyakazi wa serikali hapo kweli alirudisha heshima yao.
 
Yakula nyasi hakusema Mkapa; he was too decent to say such nonsense!! Hayo maneno yalisemwa bungeni na waziri wake wa fedha Basil Pesambili Mramba!!

Ni kweli asingeweza kusema, lakini wakati mwingine huhitaji aseme kujua pia kuwa ni mtazamo wake. Angemchukulia hatua Mramba, angejitenga na hiyo kauli. Lakini alikaa kimya na ndege ilinunuliwa.
 
Mkapa alikuwa na imani na wateule wake; walimuheshimu na hawakuwa wanamuogopa. Aliweza kuwapa confidence iliyoufanya utawala wake ulete maendeleo ya nchi bila wananchi kuteseka.

Mkapa aliweza kuleta uwiano kati ya maendeleo ya watu na vitu!!!

Na pale watendaji wake walipokosea si mlimsema yeye kwamba kashindwa kuwajibija?
Hao watendaji walizoea kumdanganya kisha wanafanya ufisadi bila kuingiliwa ndo ilikuwa fulaha yao, kwa sasa hilo hakuna.
Waliweka mikataba mibovu mpaka sasa inalighalimu taifa alafu wanajisifia.

Tena huyo ambae ameongea hivyo kama bado yupo kwenye utumishi wa umma angestaafishwa ili asiingiliwe zaidi, nae aje tupambane na maisha huku miataani.
 
Huyu mzee alikuwa ni kada wa ccm aliyewahi kuwa rais wa nchi hii. Baada ya kustaafu alikuwa akipanda kwenye majukwaa ya siasa kueneza chuki dhidi ya wapinzani. Alikuwa ni rais mwanaccm mstaafu zaidi. Kuliko kuwa rais mstaafu.
 
Msekwa mchokozi sana…pia kasema walijadiliana kuhusu kuongeza muda wakakubaliana asiongeze
Nilimsikia mzee msekwa anasema wakati akiwa spika mkapa hakuwahi kuingilia mhimili wa bunge, aliuheshimu
 
Back
Top Bottom