Hatukatai kwamba Mkapa alifanya mambo fulani mazuri wakati akiwa madarakani. Lakini uzuri wote aliuharibu kwa kuinajisi IKULU kwa kufanya biashara yeye na mkewe na kutumia madaraka yake vibaya kujiuzia Kiwira. Kuna kashfa nyingi za ufisadi katika utawala wake ambazo zinamhusisha moja kwa moja. Kama alivyosema yule Mbunge Mpendazoe, huyu ni wa kushitakiwa, na wale wote wanaomtetea kama vile akina Pinda waende wakamtetee huko. Nchi inaongozwa kwa utawala wa sheria.
Ukweli unabaki palepale kuwa Mkapa alikuwa makini kuzidi Jk
Jamani tuache yote ila mkapa huwezi kumlinganisha na JK.Alifanya mambo yaliyoonekena.Ingawa ana mapungufu yake ila hayazidi mazuri alofanya.Hata ndani ya familia baba hawezi kufanya yote mazuri.Mkapa ndo mwanga tulionao sasa wa TZ
???????....mmmmmhhhhh....Mkapa ndo mwanga tulionao sasa wa TZ
mimi nasema hivi mkapa ni mwanaume mtake msitake....huwezi kumlinganisha na huyu kikwete
BWM is a bulldozer, with too much confidence in himself. Intellectually he is, of course, shoulder higher than JK. And he took his job much more seriously., ..... But prabably prodded by a partner-in-life with insatiable appetite for wealth and riches, he erred in a deplorable manner; and for this, he is personally accountable. For this, the Constitution and the law must take their course.
.....Tumeburuzwa wee vya kutosha, uongozi wa JK na nvyombo vyao vya hbari wametulazimisha tumseme mkapa kwa muda wa miaka minne-JUST IMAGINE 4 YRS WATU WANAMSEMA MKAPA, 4 YEARS HAKUNA REMARKABLE CHANGES ZA UONGOZI WA SASA , 4YRS JK hana kitu........
Mkapa hoyeee!..
JK ziiii!!!!!!
Shuhuda zipo mimi naona Mkapa alijitahidi sana ...Jk makundi yanamchanganya sana .....
Hata mimi Binafsi sijafurahishwi na Jk hata kidogo, amekuwa anaficha sana uhalisi wake na pia hata utendaji wake tofauti sana na BEN, Ben alikuwa makini japo madudu yake. Jk is freaking with his ambitions....
.. ..na kikwete hakumtaka......kikwete alitakiwa kumuweka pinda uwaziri mkuuu kama compromise kati ya watu wa mkapa, nationalists [wataifa]....!
...ila napata sana wasiswasi na Jk maana sijaelewa sana itikadi yake..!! Hana sana tamaa ya madaraka sana Pinda labda aje kubadilika baadae sana.
Mkapa alikuwa Hodari na Kiongozi makini hata kuliko mzee mzima wa kaya Jk, huwezi kumfananisha na Jk hata kidogo, .. lakini Mkapa alikuwa kiongozi mzuri.Labda hii ndio janja ya Mzee mzima wa kaya kwa kufanya watu waseme Ben ni mbaya na kuona yeye ni safi
....JK anaonekana kutofanya kitu kwa sababu mapengo yanayohitaji kuonekana kama yamefanywa na kiongozi yalizibwa tayari na Mkapa.....
Anayeongelewa ni huyu:Pamoja na matatizo yote ya Mkapa, kuna mtu anaweza kutupa walau mambo 10 tu ambayo rais wetu mpendwa JK amelifanyia taifa hili tunapoelekea kufikisha mwaka wa tano?....
1.Alivunja hosia wa J.K.Nyerere kwa kumpa uwaziri EL.
2. Alijijengea ikulu binafsi huko Lushoto, Tanga.
3. Alijijengea Hotel ya Kitalii huko Lushoto, Tanga.
4. Alizembea na kuruhusu mtandao katika kugombe Urais 2005......n.k. endelea.............................
Je kuna ukweli hapa?....$1,000 kwa mwaka???Shairi ungeanza:-
Akawapa Wajanja kiwanja cha ndege cha KIA kwa bei ya dola 1,000/ kwa mwaka.
Kwani kosa ni lako basi...!
Hujui mwanga kama hujaona giza. kwenye shairi lako hukumalizia vizuri, kuwa ulishawahi kula chakula cha mchana kwake...!
Pale umaandika njaaaaa tu mshikaji...!
Unahitaji fimbo kama mtoto wa shule,
shairi ungeanza:-
aliuza mashirika yote ya tanzania.
Akajipa mgodi wa kiwira.
Akajipa nyumba za serikali.
Akawapa wazungu migodi yetu na ardhi ya bure wachimbe madini.
Akauza kilimanjaro hotel mara tatu na huku sasa twalipa fidia wale wawili wa mwanzo.
Akawapa wajanja kiwanja cha ndege cha kia kwa bei ya dola 1,000/ kwa mwaka.
Aka-epa hela zetu bale bot.
Aka deepgreen hela zetu.
Aka meremeta hela zetu na madini.
Kama hiyo haitoshi, akaanza kushirikiana na wajanja wachache kuuza silaha ili majirani zetu wachinjane huku akilitumia jwtz na usalama wa taifa. Akitumia jwtz, alinunua radar kwa bei ya juu kuliko inavyotakiwa. Akajinunulia na dege bofu bofu.
Alim-fisadisha mzindakaya ili a-shut up.
Na hii yote na yote uliyoandika na yale yote hatukuyaandika, alilipwa mshahara wa walipa kodi. Makonde siku moja atakiona cha ntema kuni njomba.
Good post kaniki.
Unajua ninachofurahi ni kuwa huyu jamaa anayelaumia yupo, anaishi, anadunda, vongozi waliokuwa wamkamat kaa amekosea wapo nao wanaishi!
Tutaendelea kulalamika na kulaumu tu hapa, TUNA RAIS YUPOYUPO TU KAMA SANAMU, watu watasubiri kumlaumu akitoka kwenye uongozi.
JK huwazi ku-mquote kila siku anatoa pumba
JK hana unaloweza kujivunia kuwa tuna kiongozi
IQ ya JK is remotely far lower than BMW.
KWA MIMI MTANZANIA MMOJA, NINAPOONA KUWA WATANZANIA WENZANGU WALIMWEKA JK! then MTU AKANIPA NAFASI YA KU-COMPARE KATI YA HAWA WAWILI, MKAPA KWAMWACHA MBALI SANA JK!
Kuhusu kuuzwa viwanda kosa lilifanyika na akina Mwinyi kukubali globalisation!
BWM alikuwa mkweli , mchapakazi na ailsimamia maamuzi yake hii ndio sifa ya kiongozi, hatukuona ujinga wa kujadili mahakama ya kadhi au ya kikristo hakuwa ana muda huo
Tutatukana na kusema lolote, tukubali kuwa sisi wenyewe watanzania ndio tuna makosa SASA KAMA MTU ALIONA MKAPA ANA MATATIZO NDIO MKAMKWEKA JK KUREKEBISHA?????????????????????LOL!
Tujadili mzizi wa matatizo, system zetu, sheria zetu lakini kwa yeyote mwenye akili BWM hatasahaulika kwa mazuri aliyotenda TZ. Na kama kuna mabaya mimi siamini mpaka aende jela! ndio nitaamini
VIZAZI VIJAVYO VIKITUULIZA KUWA ETI MKAPA ALIIBA?? TUTASEMA NDIO?? NA WAKITUUULIZA JE WALE VIONGOZI WALIOKUJA BAADA YAKE WALIFANYA NINI walimshtaki?? kimya!!!!! bado mnalaumu wezi
Mtanzania bila aibu anasema eti aombe msamaha! haya mawazo ya kifisadi pia! eti MKAPA KAMA KWELI ALIIBA AKIOMBA MSAMAHA BASI IS OK! bado tunasema tatizo ni viongozi hapa?? watz siku zote wajuaji tunamuhitaji MKAPA MWINGINE!
Unaweza ukampa MAXIMO cheo cha urais na akafanya vizuri zaidi kuliko JK!
Tatizo sisi, mwakani JK anaweza akasema hagombei tunaweza kumpa urais Sofia Simba! sisi!
huku ni kukimbia tatizo, nyerere alisema mtoto akililia wembe mpe, akijikata atelewa wembe si kitu cha kuchezea, hivyo hato rudia kosa au mtoto akita kugusa sufuria la moto, unakumbuka biology mambo ya voluntary and involuntary reaction/reflex action? basi baaada ya hapo atakuwa anaogopa kitu cha moto.Mimi naamini alikuwa rais mstaafu...amefanya alichofanya kibaya kizuri lets go ahead!!!
Tuongelea JK...and coming 2010 president, too late too little we can do for this guy now??? twende mbele JK atuambie anavyo solve hizo problem kwani ni chama chao CCM ndiyo imeyafanya chini ya Mstaafu wao!Tumshataki JK 2010; apigwe chini!
[/COLOR] [/SIZE][/FONT] Mnaomsema vibaya mshindwe ka kulegea. Hamna shukrani. Ni kiongozi ambaye wanaokumbuka, tunamshukuru sana.