BENJAMIN NETANYAHU aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran

BENJAMIN NETANYAHU aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran

Utasema lolote ili tu ujifariji lakini ukweli utabaki palepale Israel na Marekani ni washirika si kuanzia leo ni Kabila wewe hajazaliwa wao wanashirikiana katika Nyanja mbalimbali.

Kwa nchi hizo mbili hakuna nchi itafanya bila kuishilikisha nchi nyingine,Marekani hawezi kuishambulia Iran bila kuishirikisha Israel na vivyo hivyo Israel hawezi kuishambulia Iran bila kuwajulisha Marekani na huo ndiyo Ushirika(Allied).

Kama unatarajia nchi moja Kati ya hizo ifanye kivyake hiyo salamu maana nchi hizo ni washirika wanategemeana.

Hujaleta ushahidi wa kuthibitisha maneno yako , unawafagilia mashoga tu

Hujaleta ushahidi wa kuthibitisha maneno yako , unawafagilia mashoga tu

View attachment 3533191
Unatafuta ushahidi gani nikuwekee!?

Huyo ni Mchungaji wako wewe vaa yake tu inaonyesha huyo ni Mchungaji wako uliyemvalisha magwanda!!

Kama tu mliweza kuwavalisha watu wenu vijora na mkawapeleka kwenye Ubalozi wa Vatican mtashindwaje kumvalisha magwanda Mchungaji fake?
 
Huyo maskio ya punda Kile kichapo alichopata siku 12 tu akaenda kuomba viitishwe vikao vya amani hakijamtosha siyo? Haina shida mzee ndevu haongei sana maneno kidogo makombora mengi atamshikisha adabu tu
Angali hapo chini askari wake walivyoangamizwa tena si askari wa kawaida ni Makamanda waandamizi, Sasa hakupaswa kazi niweke picha ya askari mmoja tu wa Israel aliyeuwawa kwenye hiyo vita ya siku 12.

Kingine Nionyeshe tu picha ya ndege-vita ya Israel iliyoangushwa na majeshi dhaifu ya Iran hapo ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini ni wajinga na wapumbavu hawajui kitu!!!
 
Attachments

  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 10
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 10
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 10
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 7
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 10
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 9
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 11
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 12
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 9
  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 11
Angali hapo chini askari wake walivyoangamizwa tena si askari wa kawaida ni Makamanda waandamizi, Sasa hakupaswa kazi niweke picha ya askari mmoja tu wa Israel aliyeuwawa kwenye hiyo vita ya siku 12.

Kingine Nionyeshe tu picha ya ndege-vita ya Israel iliyoangushwa na majeshi dhaifu ya Iran hapo ndipo utajua Wafuga Midevu na Majini ni wajinga na wapumbavu hawajui kitu!!!
Iran kazi yao ni kuifanya Israel majivu idadi ya askari wangapi wamekufa hiyo haiwahusu, ingekua hamna askari wa Israel waliokufa au hamna madhara kwa Israel basi Netanyahu asingeenda kuomba vikao vya amani angeendelea kufanya uhalifu wake kama anaofanya Gaza hadi leo.

ila kwakua sindano ya Iran ilimuingia akakimbilia kwa Bwanaake Trump kumuomba aitishe vikao vya amani baada ya kuona Israel inaenda kuwa majivu
iran missile destruction israel reuters.jpg.jpg
 
Unatafuta ushahidi gani nikuwekee!?

Huyo ni Mchungaji wako wewe vaa yake tu inaonyesha huyo ni Mchungaji wako uliyemvalisha magwanda!!

Kama tu mliweza kuwavalisha watu wenu vijora na mkawapeleka kwenye Ubalozi wa Vatican mtashindwaje kumvalisha magwanda Mchungaji fake?

Hujajibu hicho alichokiongea unatoa povu tu Kama Hao mayahudi mashoga
 
Hujajibu hicho alichokiongea unatos povu tu Kama Hao mayahudi mashoga
Unaonekana wazi wewe ni Shoga maana katika maneno yako yote huachi kutaja kazi yako pendwa ya Ushoga!!
 
Unaonekana wazi wewe ni Shoga maana katika maneno yako yote huachi kutaja kazi yako pendwa ya Ushoga!!

Hujajibu hicho alichokiongea unaendelea kutoa povu tu Kama Hao mayahudi mashoga

pata rungu hili:

Utasema lolote ili tu ujifariji lakini ukweli utabaki palepale Israel na Marekani ni washirika si kuanzia leo ni Kabila wewe hajazaliwa wao wanashirikiana katika Nyanja mbalimbali.

Kwa nchi hizo mbili hakuna nchi itafanya bila kuishilikisha nchi nyingine,Marekani hawezi kuishambulia Iran bila kuishirikisha Israel na vivyo hivyo Israel hawezi kuishambulia Iran bila kuwajulisha Marekani na huo ndiyo Ushirika(Allied).

Kama unatarajia nchi moja Kati ya hizo ifanye kivyake hiyo salamu maana nchi hizo ni washirika wanategemeana.
Acha maneno mengi nimekuuliza mshirika huwa anapewa msaada wa kifedha kila mwaka?

Yaani bosi akupe msaada ukalishe familia alafu unamuita mshirika? Washirika ni yule upo naye level moja ya uchumi mfano US na UK/NATO/EU n.k sio hiko kinchi jangwani kinachoendeshwa kwa misaada ya wamarekani.
 
Hujajibu hicho alichokiongea unaendelea kutoa povu tu Kama Hao mayahudi mashoga

pata rungu hili:

View attachment 3533317
Hizo ni Propaganda za waarabu kwa nini hawataji sababu ya Israel kufanya wanayoyafanya?

Mfano unasema Israel wanabomoa Majengo na kuua watu huko Gaza husemi kwa nini walifanya hivyo hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo na akili za kushikishwa na Waarabu!!
 
Acha maneno mengi nimekuuliza mshirika huwa anapewa msaada wa kifedha kila mwaka?
Siyo kila mwaka tu ni wakati wowote inapohitajika maana ni mshirika.

Yaani bosi akupe msaada ukalishe familia alafu unamuita mshirika? Washirika ni yule upo naye level moja ya uchumi mfano US na UK/NATO/EU n.k sio hiko kinchi jangwani kinachoendeshwa kwa misaada ya wamarekani.
Ulivyo Mjinga na mpumbavu siku hizi NATO na EU zimekuwa nchi?

Kwa Israel na Marekani unateseka bure tu hao ni washirika Uumie,Upasuke na kuteseka hao wataendelea kuwa Washirika!!!
 
🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran.

Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika:

• Wanajeshi wa Uturuki au Qatar hawatakanyaga Gaza
• Katika awamu ya pili, Hamas itanyang'anywa silaha na Gaza itaondolewa kijeshi, iwe kwa njia rahisi au kwa njia ngumu
• Ikiwa Iran itashambulia Israeli, Israeli itajibu kwa nguvu ambayo Iran haijawahi kuijua au kufikiri a.
• Kaihakikishia Iran haitarudi katika Hali ilivyokuwa hapo awali
.View attachment 3531912View attachment 3531913

Wanaanza kuyasema wenyewe

View: https://youtu.be/Q4CvjSwDApE?t=24
 
Acha ujinga na upumbavu wako Uzi huu hauongelei Ushoga wako kwa hiyo usilaimishe Uzi huu tuanze kuongelea Ushoga wako.

Hata hapa Dar kuna Mashoga wamelaaniwa lakini huyaoni unaowaona walioko Jerusalem tu. Huo ni ujinga uliopindukia!!!
Hivi Dar ni mji mtakatifu? Huoni hapo Hao wateule wa ushoga wanavyounajisi mji mtakatifu Jerusalem? Na wewe unawafurahia na kuwatetea? Unatutia wasiwasi. Hivi lini uliona maandamano ya mashoga Dar ?
 
Back
Top Bottom