Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,326
- 7,788
- Thread starter
- #41
Tatizo lenu Wafuga midevu na Majini hamjui kuwa Israel na Marekani ni washirika(Allies) analoliamua Israel ndilo la Marekani na analoamua Marekani ndilo la Israel.Msimamo upi? Anayeamua ni Trump sio huyu kibaraka. Ndio maana Trump alivyosita kusaidia waandamanaji na huyo kibaraka akaufyata. Angejichanganya aende angejikuta anageukwa na Trump na angeng'olewa kwenye kiti.
Mataifa haya maw ili yanafanyika maamzi kwa kushirikiana kitu ambacho Mabumunda kama nyie hamjui. Suala la kupigwa Ayatollah ni suala la muda tu vifaa bado vinakusanywa huko baada ya muda unaona kitakachojiri!!!
Kuhusu kung’olewa kwenye kiti hilo ni suala la Wananchi wa Israel Wafuga midevu na Majini haliwahusu!!!