Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

Me namkumbuka sana ile mbaya nataman arud tena ila ndio hivyo ila hawa waroho subiri cdm tushinde wataisoma jela wote
 
Nachoweza kumkumbuka ni kimoja tu! Alikuwa na serikali isiyo ya KISWAHIBA!
 
Hata Kama Mkapa alifanya mazuri basi yote yatakuwa yamefunikwa na matendo ya huyu"bullcheka"alie kwa sasa na sbb kuu ni siri za Serikali kuvuja sn hasa mbaya za wizi nk
 
alikuwa rais mzuri sana awamu ya kwanza,kosa alifanya aliponjeswa malaya wa ki IRAN aliepnyezwa kwake na rostam aziz kupitia kwa rafiki yake mkubwa balozi Ruhinda ndipo kifo cha nchi yetu mama TANZANIA kilipoanza,kweli RA ni joka hatari sana
 
I think chama you are a little bit out of Tanzaian politics if you had known you would not say this.I advice you to go a little bit deeper into it.

Wow ! I did not get your point but lets go to the facts, I beleive other contributors have made crystal clear points. when you say I should dig deeper into it what do you expect me to come out with? Mkapa was not Mr. Clean; he used political machines to protect his political interest otherwise he would be facing corruption charges. Sin is sin in the eyes of God but human beings we use different scale to measure sin. Mkapa hands needs to washed; he didn't put country first when he fight for Kikwete, he knew Kikwete is weak and incompetent and is the only person he would manipulate to hide his filthy hands.
 
Yuko tayari kupanda kizimbani kumtetea Mahalu katika tuhuma nzito za wizi na ufisadi alioufanya wakati akiwa Balozi, wakati huo huo hayuko tayari kujivua presidential immunity ili apandishwe kizimbani kujibu tuhuma mbali za ufisadi alioufanya alipokuwa Rais!
 
Mkapa he did good and bad things so Habari ndio hiyo. we have to move forward as a nation!
 

Mkuu tafuta inform online na soma acha uvivu hizo barabara ni fedha zake? Sio wajibu wake wa kuhakikisha nchi ina infrustructure strong, hizo shule alitumia fedha zake? Hiyo bei ya bidhaa unajua inadhibitiwa kutumia nini strategies gani, aliepandisha alikuwa nani na alichukuliwa hatua gani. Acheni uvivu na kuacha kusoma na kusikiliza hawa empty heads wanaoharibu Taifa. Nyie ndio mnafanya hawa jamaa kuwa na vichwa vigumu kama mawe na mashetani.

"Mind is a terrible thing to waste"
 
Mkapa he did good and bad things so Habari ndio hiyo. we have to move forward as a nation!

Kwa hiyo tuwaache wakina Mkapa na mkewe waendelee na influence zao na hawa wakina jk wasiulizwe maswali sio? Sidhani watanzania wako hivyo na siku zote wanataka ku-move one ili tuendelee na usual mafisadi business in Tanzania. What happen to money they stored?
I don't like kabisa hii misemo na tuifute kabisa
"eti Mungu alipenda au ni Mapenzi ya Mungu - Mungu tangu lini anapenda watoto wake waonewe kiasi hiki?"
"eti Tanzania ni inchi ya amani na utulivu au wapinzani hawapendi amani - watanzania wanaamani gani wakati hawana chakula, umeme, maji, huduma za afya, heshima?

"Watanzania tuelimishane na kuacha kuwa na udhaifu wa namna hii, ccm hawataondoka kwa hiari yao wanahitaji viboko"
 
Kifupi leo hii hata huyo Hitler anakumbukwa hivyo Mkapa hakukosea kitu - na kweli anakumbukwa sana tu.
 

Dhambi zinatofautiana mkubwa ndio maana yesu alisema anayesamehewa sana hupenda sana na anayesamehewa kidogo hupenda kidogo wakati wa yule CD.
 

Ukigundua mamlaka ya raisi ndo utagundua kuwa kumbe tumekuwa na maraisi wanne na kila mmoja amefanya kitu chake. Mkapa alifanya kazi mkubwa. Mbona hata Marekani akina Bush wanalaumiwa tu? Acha ushabiki usiokuwa na maana.
 
Nitamkumbuka mkapa kwa haya:-
1. kupunguza mfumuko wa bei [niliweza kupanga mwakani nitanunua redio na nikaikuta bado ina bei ileile]
2. Kujenga barabara nyingi kwa kodi za ndani
3. Tamko kali alilotoa akiwa malaysia kwa serikali za magharibi kumnyanyasa Mugabe [tamko lililopelekea mashirika makubwa ya CNN, BBC na lile la japan kumuonyesha kwa dakika moja kwa uchache.
4. Maamizi yake ya kiutawala zaidi na siyo kisiasa [alikuwa na msimamo usioteteleka]
5. Kiongozi aliyetengeneza mianya mingi ya rushwa badala ya kuiondoa

Hadi sasa mambo muhimu nitakayomkumbuka JK:-
1. Kiongozi pekee duniani aliyejinadi kuondoa umaskini [maisha bora kwa kila mtanzania] pasipo kujua sababu za umaskini
2. Kiongozi aliyefanikiwa kuchaguliwa kwa ahadi zenye thamani ya kodi za miaka zaidi ya 15 ilhali umri atakaokaa madarakani ni miaka 5 tu! [ahadi za trilioni mia moja ambapo bajeti ya mwaka ni trilioni 11]
3. Muasisi wa siasa za makundi
 
 

Wanachama wa Chama Cha Magamba-CCM ndiyo mtamkumbuka Mkapa kwa mgawo wa pesa ya UFISADI ALIYOKUWA AKIWA MEGEA KUTOKANA NA WIZI WA PESA ZA EPA.UUZAJI/UBINAFSISHAJI/UGENISHAJI WA MASHIRIKA/MAKAMPUNI NA MIGODI YA MADINI.

Lakini kwa Watanzania walio wengi na wapenda nchi hii MKAPA AMESHAFUTIKA KWENYE MAWAZO YAO. Mkapa ndiyo ametufikisha hapa tulipo. Tunachoshuhudia sasa ni mwendelezo wa siasa/sera mbovu za CCM chini ya uongozi wa Mkapa. Kiwete alivyoingia akarithi mikoba huku akidai atatupeleka kwa kasi zaidi,ari zaidi na nguvu zaidi!Najua wana MAGAMBA mtasema Mkapa alikuwa Rais mzuri kwa kuwa KAWAJENGEA UWANJA WA TAIFA KAMA ALIVYOKUWA AKITAMBA LEO WAKTI WA KUPOKEA TUZO YAKE FAKE.


Mkapa ameuza nchi na kuifanya Tanzania kuwa koloni la WAWEKEZAJI WANAOVUNA RASLIMALI ZETU KAMA VILE HAZINA MWENYEWE!
  1. Nani asiyejua WIZI WA DHAHABU,TANZANITE,ALMASI NA MADINI mengine unaofanywa na wawekezaji?
  2. Nani asiyejua UBINAFSISAHJI WA KITAPELI uliofanywa na Makaburu kwenye Bank ya NBC/NMB?
  3. Nani asiyejua UBINAFSISHAJI WA KITAPELI uliofanywa TTCL,ATC na TRL na mashirika mengine ambayo yako hoi bin taabani?
  4. Nani asiyejua MAUAJI YA WAPEMBA/WANZIBARI zaidi ya 30 mwaka 2001 kufuatia vurugu za Uchaguzi huko Zenj?n.k. na n.k.
Halafu kuna watu wanamsifia kuwa alikuwa Rais mzuri sijui kwa lipi? Kwa VILE MKAPA ALIKUWA NI FISADI ALIYEKUBUHU ALICHOKUWA ANAJARIBU KUFANYA NI KULA NA VIPOFU. ALIKUWA AKICHOTA MABILIONI HALAFU ANAWADANGANYA WA-TZ KWA KIWANJA CHA MPIRA.BARABARA,VITENGE NA KOFIA KWA WANA-CCM.
 
Ukigundua mamlaka ya raisi ndo utagundua kuwa kumbe tumekuwa na maraisi wanne na kila mmoja amefanya kitu chake. Mkapa alifanya kazi mkubwa. Mbona hata Marekani akina Bush wanalaumiwa tu? Acha ushabiki usiokuwa na maana.

Mkuu ushabiki gani umeona? Usichanganyanye issues. Kila kiongozi anafanya makosa, well kama makosa ya viongozi wa Tanzania ni so unique ans specials basi endelea kuwapigia makofi watu kama Mkapa na ccm. Tupe achievements za Mkapa tofauti na uniqueness compares to Mwinyi na Kikwete. I think you're drinking the wrong cup...Mkapa na wenzake walinganishe na viongozi wengine duniani na acha kuwaangalia vitu vyao vya kipuuzi hapa Tanzania. Usije ukaona Kikwete anapata shida sana sasa hivi ukaona kwamba ni weak kuliko Mkapa wala hiyo sio issue, Kikwete amewasha moto mwenyewe kwa kuiba kura openly and was wrong time to do it at this age. Hili lingemkuta Mkapa pia kama angekuwa anagombea 2010 na yeye yote haya angeyapata. Hakuna tofauti, jk is so weak right now and it's seem that the guy is not going to make 2015. Mkuu kama hujui jinsi ya kufanya political analysis go back on online kuna researches nyingi tu au rudi shule, tena acha uvivu.

"Leaders are always measured by achievements or simply compared to success leaders in constrain environments"
 
Viazi, bilinganya, matembelea ni nyiie wapiga kura, mkapa angefanya nini wakati mmeshikilia mnataka Rais HANDSOME. Haya uhandsome wenyewe ndo huo sasa chezeni hilo sakata.

Sijawahi ona viazi kama watanzanita nikiwemo, kweli unaweza mulinganisha Salim Ahmed Salim na Jakaya Mrisho Kikwete. Kwa midomo yenu mliongea hovyo eti hamuwezi kutawaliwa na mkimbizi? Sasa mnatawaliwa na mcheza madogoli. hehehehehe! Mungu huyo wa Israel anaweza, anaona, sara na vilio vyenu ya kupata HANDSOME PRESIDENTalisikia na akawapa sasa mnamuita KIAZI?????!
 
 
Hata mimi mtakuja kunikumbuka kwenye busati hili hili kwamba atatokea mpiganaji atakayetukumbusha kuhusu ja-kaya, any way mimi namkumbuka anna mkapa.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…