.....Angalia posts na threads zangu zote.
Kuangalia post zako zote hakutahalalisha kumnyanyapaa kwako Liyumba. Kama hujui maana ya kunyanyapaa anzisha thread kuuliza maana ya hilo neno 'It will make more sense' kuliko hii ya Liyumba Na Chupa Ya Maji Ya Kilimajaro'