The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Kuna haya maji mapya ya Hill water na haya ya Afya water, chupa za maji yao zina midomo(vipenyo) mikubwa sana. Hiyo midomo ni mipana sana, wengine hatuna hiyo midomo kama simtanki.
Mbona kampuni nyingine za maji zina midomo midogo, Kilimanjaro, Uhai wana midomo midogo pamoja na kwamba kilimanjaro inanyweka sana huko Moshi ambapo watu wana midomo mikubwa kama mabakuli.
Punguzeni kipenyo cha maji yenu.