Benefits of Water Therapy & Liyumba Na Chupa Ya Maji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Benefits of Water Therapy & Liyumba Na Chupa Ya Maji

Discussion in 'JF Doctor' started by Superman, Jun 29, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Wakulu;

  Toka Sekeseke na Shem Liyumba lianze Kisitu, nimekuwa nikimwona na chupa kubwa ya maji ya Kilimanjaro.

  Kumekuwa na discussion kuwa anako kale kaugonjwa ketu kale.

  Somebody tell me hii habari ya yeye kuwa na maji wakati wote ikoje?
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Huna aibu kumnyanyapaa mwenzio, wangapi hawana 'hako ka ugonjwa' na wamekufa Liyumba akiwa bado anapumua? Hujafa hujaumbika.

  Kunywa maji nayo imekuwa issue, umekosa cha kuchangia au ubunifu katika hoja za kuanzisha thread basi nyamaza. This is too low.

  Kama ni maji hata wewe unatakiwa kunywa, tena sana tu, lita tano kwa siku.
   
 3. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu;

  Katika hiyo post ni sehemu gani inayoonyesha nimemnyanyapaa? Au hujaona thread ya Liyumba hapa JF Mkuu?

  Mimi nataka kujua juu ya chupa ya maji. Kama unaweza kujibu poa, maana kuna wengi wanaenda mahakamani na siwaoni na chupa hizo. It is simple and clear!

  Sasa mtu mzima kelele za nini? Ukisikia kunyanyapaa sasa ndo huko unakoelekea sasa. Jaribu kufocus katika issue badala ya kuleta tafsiri zako.

  Mimi ni mwanaharakati wa Mapambano ya Ukimwi na kuna somo nataka tupeana hapa kwa kuelimishana. Angalia thread zangu za ukimwi. Umeona thread hii iko jukwaa gani?
   
 4. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #4
  Jun 29, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kiasi cha kuanzisha thread kwa mantiki ya Liyumba na chupa ya maji ya Kilimanjaro ni unyanyapaaa, kwa vile hauna basis ya thread bali ni kutaka kumweka Liyumba machoni mwa wanaJF na wageni.

  Kama unajua kuna thread mahsusi ya Liyumba, kwa nini usingeuliza huko hadi uanzishe thread nyingine, eti ' ana kale kaugonjwa'. Hujafa hujaumbika.
   
 5. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #5
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Du! Kamanda nadhani wewe tutakesha hapa. bado hoja huioni? Sasa ile thread ya ina uhusiano gani na maji au JF Doctor?

  JF bwana kweli ni jamvi!

  QED.
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Jun 29, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  No Wonder!

  katika thread 8 ulizoanzisha, 4 ni za Malalamiko!
   
 7. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa nini mada ya maji uiweke JF Doctor then uihusishe na Liyumba? Hakuna hoja kwenye thread hii. JF Doctor na kichwa cha thread ' Liyumba na Chupa ya Maji Ya Kilimajaro'?

  Liyumba kuwa na chupa ya maji kuna tatizo gani hadi umuulize JF Doctor. Superman umemnyanyapaa Liyumba kwa vile umesikia 'ana kale ka ugonjwa'.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Nadhani wanapewaga maji huko lockup, watuhumiwa wengi sana nimewaona wanashuka na chupa za maji.
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Tuache sindimba za kujaza post mkuu. Unajua kuwa maji ni dawa?
   
 10. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #10
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145

  Bahati mbaya mkuu huwa hao wengine siwaoni nazo.

  Unajua chochote juu ya Water Therapy na inasaidiaje?
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu umeshagundua JF siku hizi pumba nyingi.......sasa mtu anahoji iweje mwenzie anakunywa maji jamani aibu....
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Maji si dawa, bali ni compound muhimu kwa sababu inachukua sehemu kubwa ya mwili wako. Ubongo wako una 95% ya maji, damu yako ina 82% ya maji na mapafu yako yana maji 90%. Maji yanahitajika kutoa sumu na wastes mwilini mwako kwa njia ya mkojo na jasho.

  Kunywa maji kwa afya yako, si hadi umone Liyumba anakunywa maji ndio uulize 'kwa nini Liyumba anakuwa na chupa ya maji......... kumhusisha na ' kale kaugonjwa'

   
  Last edited by a moderator: Jun 30, 2009
 13. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #13
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Ndugu yangu weee acha tu, kichwa cha habari cha thread iliyoJF doctor ni 'Liyumba Na Chupa Ya Maji Ya Kilimajaro', kwenye post ya 9, muanzisha thread anauliza umuhimu wa 'water therapy', usijue kama maji yana umuhimu mwilini lakini ujue kitu kinaitwa water therapy. Superman acha kuspin.
   
 14. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #14
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Acha kulalamika tumeshamaliza huko . . .

  Unapokunywa maji mengi sana zaidi ya kile kipimo standard au Water Therapy inawezekana kama ulikuwa na magonjwa mengine ukapona?

  Nimewahi kusikia kuwa ukinywa maji mengi sana na mara kwa mara na huku unafanya mazoezi, ni dawa tosha ya kufukuza maradhi kama malaria n.k. Unafahamu chochote?
   
 15. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #15
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kumbe umeshasikia haya, sasa Liyumba kaingiaje humu? Unataka kusema kwamba ulikosea wakati unaianzisha hii thread, ulimaanisha kitu kingine tofauti na yanayosomeka kwenye lead post?

  'tumemaliza huko' wewe na nani?
   
 16. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #16
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu Yo Yo;

  Check thread zangu zote na post zangu niambie pumba ziko wapi. Na hata thread hii subiri mwisho wake utakuwa umeelimika kiasi gani.
   
 17. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #17
  Jun 30, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu umechemka period....
  tuambie uhusiano wa lyumba na chupa ya maji....yaani thread imekaa kimbea mbea very low in deed
   
 18. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #18
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu,

  Hapa kama usingevuruga thread katika mkondo wake hata baada ya kukuelimisha kuwa you are taking a wrong concept, wala kulikuwa hakuna shida. Ni nina uhakika utaelimika tu. Ninao uelewa wa kutosha kwa nini thread hii nimeiweka JF Doctor.

  Wewe uliwahi kutoa post ya malalamiko ya UVURUGAJI WA HOJA JF lakini unafanya yaleyale.
   
 19. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #19
  Jun 30, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kaisome vizuri hiyo thread ya malalamiko ya UVURUGAJI WA HOJA.

  Nachukua fursa hii kukuasa kutopindisha hoja, nakuasa kutomnyanyapaa Liyumba in the name of maji. Kichwa cha thread kinajitosheleza kukusoma kusudio lako. Kama una bifu na Liyumba, nenda urudi kivingine, kwa mtungo huuu ni no no no!.

   
 20. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #20
  Jun 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kamanda toka lini una mamlaka ya kuwataka watu waanzishe thread kwa titles unazotaka wewe? Hivi wewe unajua maana ya kunyanyapaa au unasema tu Mkuu?

  Nimekwambia nilikuwa nina maana yangu ya kuiweka maada hii hapa JF Doctor in regard to water therapy. Sasa hili na Liyumba mbona umelishikia Bango? Mkuu bado huelewi au unafanya shingo kuwa ngumu tu? Ni-Spin kwa lipi? Sina hizo mimi. Angalia posts na threads zangu zote.
   
Loading...