Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

Poor timing na maamuzi ya kipuuzi sana, kwa kauli ya Magu kwenye majanga ya tetemeko ni wazi kuwa mwaka 2020 mkoa mzima wa Kagera utakuwa chini ya UKAWA
Mbona yeye ni huko huko kagera na kaamuaa kuhamia ccm. Anajua undani kwamba 2020 cdm itakuwa imefutika.
 
Mbona yeye ni huko huko kagera na kaamuaa kuhamia ccm. Anajua undani kwamba 2020 cdm itakuwa imefutika.
Hujui usemalo........ Kwa taarifa yako hata hilo jimbo CHADEMA ilishinda mwaka 2015 ila ukafanyika ujecha mwingi sana.....
 
Hujui usemalo........ Kwa taarifa yako hata hilo jimbo CHADEMA ilishinda mwaka 2015 ila ukafanyika ujecha mwingi sana.....
Ndiyo kauli zenu za kulia lia tumewazoea. Mahakama ikiwapa ushindi hiyo ilikuwa ni huru na haki mkishindwa mmeonewa!!!
 
CCM ni chama cha MAJIZI kahamia kchama cha MAJIZI CCM
Pesa Za ruzuku na za wafadhili wa ndani na nje huwa mnapeleka wapi nyie chadema kiasi kuwa mnapanga uswahilini nyumba ya vyumba vinne choo cha nje kama ofisi ya makao makuu chadema wezi wakubwa nyie ?
 
Mmh mbona hatumjui
Au nae ndio anataka kutengeneza jina hapa
Uyo ananjaa zake
 
Pesa Za ruzuku na za wafadhili wa ndani na nje huwa mnapeleka wapi nyie chadema kiasi kuwa mnapanga uswahilini nyumba ya vyumba vinne choo cha nje kama ofisi ya makao makuu chadema wezi wakubwa nyie ?
SIFA kuu ya kujiunga na CCM ni Lazima uwe Mbulula wa mawazo kama haya
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa(TLP) na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
Kama wwapinzani wataendelea na ujinga huu, wananchi watapoteza imani nao na hawataiona Ikulu.
 
Ameukosa ubunge amehama chama, aende na kipisi chake cha mkia asije rudi kudai mkia wake bure asumbue watu..huko awahakikishie hata kama amekatwa mkia lakini amondoka nao mkononi.
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa(TLP) na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
Ni mkate
 
Mtungirehi "the traitor". Kwa wale wa UDSM miaka ile wakati jamaa alikuwa rais wa DARUSO hatashangaa jamaa kuruka chama hadi chama. Alikuwa CCM, kahamia NCCR, baadaye CDM, now back to CCM.

Anyway namkumbuka alivyokung'utwa pale Nkurumah na majamaa ya FOE kwa utraitor wake. Wacha akatwe mkia kwanza.
Wewe ambaye si traitor uliwahi hata kuwa kiranja wa darasa....stop spitting nonsrnse...you just a mediocre ...this is how zombies think... Polee ndugu
 
Hana jipya uyo kafulia kitambo huku Dar kakimbia alikuwa anaishi karakata BONDENI sasa kaamua akimbie town hana jipya asepe tu
 
Hii biashara kwa sasa hailipi!
Inayolipa ni ya kushinda jf mnapiga miayo na hekaya za abunwasi ??? Miaka mitano baadae unaanza kulia umaskini.... Wake up kabla haujamaskinika ..hahahahhaa
 
shameful for a graduate to reduce his status to a disreputable one of a vagabond
Tell us your value.. We will score you rightly...You are too low compare yourself with BENEDICTO MUTUNGIREHI. Go back to square one and evaluate your thinking before spitting out such a shit
 
Back
Top Bottom