Blaster B2M
Member
- Apr 1, 2017
- 86
- 50
njaa shida sana n Heri kumtumikia MUNGU anayetosha


hebu mtazame vizuri usoniHuo ndio ukweli mengine yote mbwembwe na kujitoa ufahamu.Kwa maana nyingine watu wanaenda kule wanakohisi watapata either baada ya kukosa au kule kuhisi tu watakosa.
Nafikiri watu wanaangalia matumbo yao kwanza
Chadema wamechanganyikiwa wema sepetu akienda chadema wanasema haki yake lakini mtu akitoka chadema kuhamia chama kingine wanatoka mipovu ohhhh njaa hajitambui sijui nini! Be consistent mnasimamia nini nyie vibaka wa chadema mnaojiita chama cha demokrasia? Mtu akihama chama kwenda chama kingine ana exercise uhuru wake wa demokrasia au Hapana? Chadema nyie matapeli you call yourself democratic while you are not you are Just political conmenhaki yake
Amekubali kuchutama kama MOTOCHINIAmekatwa mkia huyo... Tunamwangalia huku alikokuja
Chadema wamechanganyikiwa wema sepetu akienda chadema wanasema haki yake lakini mtu akitoka chadema kuhamia chama kingine wanatoka mipovu ohhhh njaa hajitambui sijui nini! Be consistent mnasimamia nini nyie vibaka wa chadema mnaojiita chama cha demokrasia? Mtu akihama chama kwenda chama kingine ana exercise uhuru wake wa demokrasia au Hapana?


mkuu huyu jamaa ni kichwa balaa, CCM mmepata jembe la kuwaongoza.Umenikumbusha mbali sana... asante mkuuMtungirehi "the traitor". Kwa wale wa UDSM miaka ile wakati jamaa alikuwa rais wa DARUSO hatashangaa jamaa kuruka chama hadi chama. Alikuwa CCM, kahamia NCCR, baadaye CDM, now back to CCM.
Anyway namkumbuka alivyokung'utwa pale Nkurumah na majamaa ya FOE kwa utraitor wake. Wacha akatwe mkia kwanza.
Chadema wamechanganyikiwa wema sepetu akienda chadema wanasema haki yake lakini mtu akitoka chadema kuhamia chama kingine wanatoka mipovu ohhhh njaa hajitambui sijui nini! Be consistent mnasimamia nini nyie vibaka wa chadema mnaojiita chama cha demokrasia? Mtu akihama chama kwenda chama kingine ana exercise uhuru wake wa demokrasia au Hapana? Chadema nyie matapeli you call yourself democratic while you are not you are Just political conmen
Wakati akiwa mbunge wewe ulikuwa mdogo usingeweza kumjua.Cjawah msikia .
2020 sidhani kama kutakuwa na chama kinaitwa cdm.Baada ya kugaragazwa mahakamani njaa ya tumbo mbaya sana ..Ukweli jamaa alishinda vizuri ila figisufigisu ndozikamuangusha nyinyiem wakamlaza kapambana marufaa mara mahakamni ngoma ikawa ngumu...sasa yeye anataka kuwa mbunge kaona njia nyingine ni kurudi ccm sasa kwa taarifa ubunge 2020 hupati tutampa mbunge wa chadema.
Athali za viloba hiyo mkuu. Msamehe bure.Mkuu jambo usilolijua ni vema kukaa kimya ukaelimishwa, huwezi kujua kila kitu. Huyu jamaa aliwahi kuwa mbunge kupitia TLP na 2015 aligombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA akakosa na sasa ameamua kuhamia CCM labda anaitazama 2020 ajaribu ubunge kwenye hilo jimbo kwa tiketi ya CCM. Sasa huyo jamaa unapomwambia aache unini sijui, wapi kosa lake. Wewe ndo hujui.