Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

Baada ya kugaragazwa mahakamani njaa ya tumbo mbaya sana ..Ukweli jamaa alishinda vizuri ila figisufigisu ndozikamuangusha nyinyiem wakamlaza kapambana marufaa mara mahakamni ngoma ikawa ngumu...sasa yeye anataka kuwa mbunge kaona njia nyingine ni kurudi ccm sasa kwa taarifa ubunge 2020 hupati tutampa mbunge wa chadema.
 
Huyu jamaa katika bunge la 2000~2005 alikuwa kichwa sana
Kweli.. kuna wakati bungeni aliitaka serikali imhamishe afisa misitu, akasema kama hatahamishwa wao watatumia njia zao za jadi watauhamisha huo msitu halafu waone atafanya kazi gani!!!!!
 
72532bc653d9891a56fdc26a9d569cd4.jpg
Aliye wahi kuwa Mbunge wa Jimbo la uchaguzi Kyerwa mkoani Kagera kupitia chama cha Tanzania Labor Party na mgombea wa ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA Ndugu Benedict Mutungirehi amehama chama rasmi na kujiunga na chama cha mapinduzi.
amejiunga ccm au chadema!!!? acha umbafa bhn
 
Baado EL tunampiga za uso mpaka ang'oke tu. Arudi aliko toka.

Tunaomba na wengine wanaojitambua wachukue zao.
 
Hivi wanahamaga kufuata Sera au kutafuta ulaji.

Experience inasema wanaokosa ubunge ndio wanahama
Na historia inaendelea kutuonesha wanaohama pia ni wale waliokatwa ktk mchakato wa kumpitisha mgombea kupitia chama flani.
 
Njaaa mbaya
Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja hivi alikuwa anatisha kwa kuchapa.
Alikuwa akiingia class mkwala wake anasema yeye anatisha kama njaa ikiingia kijijini kwenu.
Sasa huyu njaa ilishaingua kwa village yake matokeo yake ndo hayo
Duh ila kweli Mutungirehi amepigika jamani! Nilikutana naye mahali fulani anatia huruma, anaongea peke yake. Yuko frustrated huyu jamaa. Alikuwa vizuri kweli upstairs, lakini sasa kapoteza kabisa mwelekeo!
 
Huyu si ndio alimwitaga Mrema kuwa ni Chui wa karatasi wakati yupo TLP mwishowe yeye ndie akasanda na kubwaga manyanga.
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa(TLP) na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
Niliwahi kumuona mahala anaonekana kama kapagawa na maisha
 
Sijaelewa! Kipindi alivyokuwa mbunge alikuwa kwa tiketi ya chama gani? kabla ya hiyo 2015?
Huko Kale aliwahi kuwa Mbunge kwenye Jimbo hilo kwa tiketi ya TLP Na 2015 aligombea na kushinda kupitia chadema ushindi ambao uliporwa na chama alichoamua kujiunga nacho sasa.

Ni haki yake kidemokrasia tuheshimu uamuzi wake huo.
 
Baada ya kugaragazwa mahakamani njaa ya tumbo mbaya sana ..Ukweli jamaa alishinda vizuri ila figisufigisu ndozikamuangusha nyinyiem wakamlaza kapambana marufaa mara mahakamni ngoma ikawa ngumu...sasa yeye anataka kuwa mbunge kaona njia nyingine ni kurudi ccm sasa kwa taarifa ubunge 2020 hupati tutampa mbunge wa chadema.
Karudi katika kipindi kibaya sana ambacho wana kagera wanasubir 2020 ili wamuonyeshe cha mtemakuni bwana magogoni kwa kubugia rambirambi na kutoa kauli chafu
 
Na historia inaendelea kutuonesha wanaohama pia ni wale waliokatwa ktk mchakato wa kumpitisha mgombea kupitia chama flani.
Kwa maana nyingine watu wanaenda kule wanakohisi watapata either baada ya kukosa au kule kuhisi tu watakosa.

Nafikiri watu wanaangalia matumbo yao kwanza
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa(TLP) na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
Magufuli mpe post mtungirehi ni mzuri sana ila alikosea kujiunga upinzani kama wenzie ambao waliokosea kijuinga upinzani bila kujali Future zao na uwezo wao Kama Alina upendo peneza, zitto kabwe ,Nassari, godlisten malisa, Tundu Lisu, mbunge wa chadema jimbo la Mwomba na mbunge mmoja wa upareni wa chadema anaitwa kaboyoka .Uwezo wao mkubwa kuliko waliko hivyo kuwafanya wasifike mbali kisiasa zaidi ya kufikia cheo cha juu cha ubunge au uongozi wa chama chao tu.Very sad. Magufuli please mpe Post yuko vizuri sana kichwani
 
amejiunga ccm au chadema!!!? acha umbafa bhn
Mkuu jambo usilolijua ni vema kukaa kimya ukaelimishwa, huwezi kujua kila kitu. Huyu jamaa aliwahi kuwa mbunge kupitia TLP na 2015 aligombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA akakosa na sasa ameamua kuhamia CCM labda anaitazama 2020 ajaribu ubunge kwenye hilo jimbo kwa tiketi ya CCM. Sasa huyo jamaa unapomwambia aache unini sijui, wapi kosa lake. Wewe ndo hujui.
 
Hapa Chadema lazima mjifunze kuhusu upokeaji wa haya makapi dakika za mwishoni na kuwaacha wafia chama.Kwenye jimbo hili la Kyerwa alikuwepo mpambanaji mzuri sana 2015 Kamanda Ntareyeguru ajabu akaachwa na kupewa Mutungirehi.Yametokea Kishapu kwa Mpendazoe,yametokea Singida kwa Msindai.Na yametokea sehemu zingine.Hatutaki yajirudie tena chaguzi zijazo.
Nakubaliana nawe mkuu.......
 
Poor timing na maamuzi ya kipuuzi sana, kwa kauli ya Magu kwenye majanga ya tetemeko ni wazi kuwa mwaka 2020 mkoa mzima wa Kagera utakuwa chini ya UKAWA
 
Back
Top Bottom