Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,069
WhatsApp Image 2017-05-02 at 11.40.18.jpeg

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa(TLP) na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
 
Njaaa mbaya
Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja hivi alikuwa anatisha kwa kuchapa.
Alikuwa akiingia class mkwala wake anasema yeye anatisha kama njaa ikiingia kijijini kwenu.
Sasa huyu njaa ilishaingua kwa village yake matokeo yake ndo hayo
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kapigika kijijini mpaka akakaribia kuwa kigagula kaona afuate nyayo za Lipumba kwenda kula pesa za CCM
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
Mkuu tunaomba picha wengine tuko mbuchi mai huku hatumjui
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.

Anayohaki kisheria na kikatiba
 
Njaaa mbaya
Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja hivi alikuwa anatisha kwa kuchapa.
Alikuwa akiingia class mkwala wake anasema yeye anatisha kama njaa ikiingia kijijini kwenu.
Sasa huyu njaa ilishaingua kwa village yake matokeo yake ndo hayo
wacha bhana mwenzako kaona heshima imepotea. hataki kuitwa nyumbu.
 
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.

Hebu fanya marekebisho kidogo kwenye heading yako. Bwana Benedicto Mutungirehi hakuwahi kuwa mbunge kwa tiketi ya chadema, bali mbunge wa TLP ya Lyatonga Mlema kabla ya mwaka 2015 kuhamia na kugombea kwa tiketi ya chadema.
 
Mtungirehi "the traitor". Kwa wale wa UDSM miaka ile wakati jamaa alikuwa rais wa DARUSO hatashangaa jamaa kuruka chama hadi chama. Alikuwa CCM, kahamia NCCR, baadaye CDM, now back to CCM.

Anyway namkumbuka alivyokung'utwa pale Nkurumah na majamaa ya FOE kwa utraitor wake. Wacha akatwe mkia kwanza.
 
Hivi wanahamaga kufuata Sera au kutafuta ulaji.

Experience inasema wanaokosa ubunge ndio wanahama
 
Kwa akili ya mfalme juha na utawala wake, basi anawapenda sana watu kama hao
 
Back
Top Bottom