Say no to actors
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 637
- 641
CHADEMA hatujawahi kuwa na mbunge huyo labda alikuwa kupitia CCMHuyu jamaa katika bunge la 2000~2005 alikuwa kichwa sana
CHADEMA hatujawahi kuwa na mbunge huyo labda alikuwa kupitia CCMHuyu jamaa katika bunge la 2000~2005 alikuwa kichwa sana
Na wale waliomkaribisha Mzee ENL ni makapi ya nini?.ccm na makapi ya njaa
Swissme
Amekaa kipombepombeAliye wahi kuwa Mbunge wa Jimbo la uchaguzi Kyerwa mkoani Kagera kupitia chama cha Tanzania Labor Party na mgombea wa ubunge wa jimbo hilo kwa tiketi ya CHADEMA Ndugu Benedict Mutungirehi amehama chama rasmi na kujiunga na chama cha mapinduzi.![]()
Asante mkuu.. mods washaweka sawa. UBARIKIWE!Hebu fanya marekebisho kidogo kwenye heading yako. Bwana Benedicto Mutungirehi hakuwahi kuwa mbunge kwa tiketi ya chadema, bali mbunge wa TLP ya Lyatonga Mlema kabla ya mwaka 2015 kuhamia na kugombea kwa tiketi ya chadema.
Ni wapi nimeandika kuwa alikuwa mbunge kupitia Chadema?CHADEMA hatujawahi kuwa na mbunge huyo labda alikuwa kupitia CCM
Wakati wewe unahangaika na vichwa vya habari watu wapo kwenye ujenzi wa treni ya umeme kutoka Dar mpaka Moro halafu kutoka Moro mpaka Mwanza.
Huku mahosipitalini watu wanakufa bila dawa pool youWakati wewe unahangaika na vichwa vya habari watu wapo kwenye ujenzi wa treni ya umeme kutoka Dar mpaka Moro halafu kutoka Moro mpaka Mwanza.
Kwa akili kama hizi ni lazima 2020 mumlaumu mwenyekiti wa tume ya uchaguzi.