Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

Benedicto Mutungirehi wa CHADEMA ajiunga na CCM

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kyerwa(TLP) na mgombea wa Ubunge wa jimbo hilo hilo mwaka 2015 kupitia CHADEMA, Ndg. Benedicto Mutungirehi amekihama Chama hicho na kuingia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mutungirehi amekabidhi kadi ya CHADEMA na kupokea kadi ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Kayanga wilayani Karagwe.

Mbunge huyo wa zamani wa Kyerwa ametoa hotuba yake baada ya kukabidhiwa kadi ya Chama chake kipya.
NI MAAMUZI YAKE NA NI HAKI YAKE KIKATIBA.
LAKINI SI MAAMUZI MAZURI KWA MTETEA WANYONGE.
 
Wewe ambaye si traitor uliwahi hata kuwa kiranja wa darasa....stop spitting nonsrnse...you just a mediocre ...this is how zombies think... Polee ndugu
Duh! ww kama si Mutungirehi mwneyewe basi utakuwa mke wake, naona una respond kwenye post zote zenye kumsema tofauti na matarajio yako.
 
Ndiyo kauli zenu za kulia lia tumewazoea. Mahakama ikiwapa ushindi hiyo ilikuwa ni huru na haki mkishindwa mmeonewa!!!
Akili yako ina tatizo sana, aliyoyafanya Jecha kule Zanzibar ni nafuu kulinganisha na 'ushetani' uliofanyika Kyerwa. Wise up Young lady....
 
Tell us your value.. We will score you rightly...You are too low compare yourself with BENEDICTO MUTUNGIREHI. Go back to square one and evaluate your thinking before spitting out such a shit
Unajua maneno mengi kweli ya kiingereza ila grammar yako kama ya baba Bashite tu..... Halafu eti unajiweka 'frent ford' kutumia kiingereza

....... too........... to..........
 
Simlaumu ndio akili yake ilipoishia. Go to hell!
 
Njaaa mbaya
Kuna mwalimu mkuu wangu mmoja hivi alikuwa anatisha kwa kuchapa.
Alikuwa akiingia class mkwala wake anasema yeye anatisha kama njaa ikiingia kijijini kwenu.
Sasa huyu njaa ilishaingua kwa village yake matokeo yake ndo hayo
Akihamia chadema ni shujaa ila akihama njaaa nyambaaafff
 
Back
Top Bottom