Bendera ya Zumaridi

Huyo Zumaridi anafaa afungiwe kabisa na ikiwezekana afungwe Jela,,anakufuru na pia ni mshirikina.....

Kuwaacha watu wapumbaf kama yeye kuchafua imani kutafungua mlango wa magombesugu wengine kama yeye kumkufuru Mungu with impunity.

Tofauti yake na wezi tuliowazoea ni ushirikina wa wazi,,kufuru ya wazi na upumbavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nasikia kuna sekeseke limetokea huko kwa zumaridi juzi tarehe 23/2/2022..

Jirani yake tujuze
 
Kuna baba godi na kalebu wamefanya uharibifu Sana kwa waumini ikiwemo uzinzi, mateso, kuwapiga waumini, nk
 
Nasikia kuna sekeseke limetokea huko kwa zumaridi juzi tarehe 23/2/2022..

Jirani yake tujuze
Kwani bado anakula vichwa vya wajinga si alifungiwa huyu kahaba mkuu wa machukizo anaeabudiwa na wapumbavu.
 
Ni kwamba wanaabudu bendera?
 
Kama ni Mwanamke, kwanini anaitwa Mfalme? Na siyo Malkia? Anyways, kazi kweli kweli.
 
Mungu wetu na mfalme Zumaridi chapa injili watu wajue wewe ndie mkombozi wa tumbo lako,wajinga hawataisha Mpaka kiama
Eboooooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…