Bendera ya- Tanzania Kupeperushwa nusu mlingoti

Hivi ni vituko sijawahi kuvisikia popote ulimwenguni. Nchi gani imeteremsha bendera nusu mlingoti kwa kifao cha kiongozi wa nchi nyengine? Kama kuna nchi ilipaswa kufanya hivyo ingekuwa Venezuela ambako tangu mwanzo Chavez hakutetereka na kumtetea kwake Gadaffi.
CCM wacheni kuiabisha bendera ya Tanzania, teremsheni ya magamba.
 
Si tu kwamba nchi hii viongozi wake hawajui kucheza siasa za nyumbani bali pia siasa za kimataifa. Membe anapaswa kuwa makini sana na siasa za kimataifa. Kinachotawala pale sio urafiki bali maslahi ya nchi. Sijui analenga kulinda maslahi yapi. Jana nilitizama sana propaganda za TBC kuhusu kifo cha Gadafi, nilishangaa. Namshangaa Membe kuhalalisha na kuhangaika na utawala ambao hauopo tena.
 
Wanasheria tusaidieni, nani mwenye mamlaka ya kuamuru bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipeperushwe nusu mlingoti? Ni kipindi au matukuo gani bendera hiyo inatakiwa ipeperushwe nusu mlingoti?

Sijui ni mimi au kuna mtu mwingine anoyeana kiongozi wetu mmoja anaenda Libya kuwaomba msamaha watu wa Libya kwa kumuunga mkono Ghadafi? Siku hiyo inakuja.
 
Hongera Membe na serikali kwa ujumla. Gadaf alikuwa ni mmoja wa viongozi imara sana Afrika, wanaongozwa na misimamo yao imara, si wale wafata upepo.

Afrika nzima inapaswa kumlilia Gadaf, mungu ailaze mahali peponi.
Nakuunga mkono
 
I wonder why Libyans r demostratin'

C below guys……



Zimmetro - The media has successfully painted Gaddafi as a hard-core dictator, tyrant whatever you want to call him. However, the media as usual has also failed to show the kind, giving Gaddafi we never heard of. Gaddafi unlike most dictators I will refrain from naming them has managed to show his humane side, the very side we dream of seeing in other dictators who just talk and talk.
I consider Libyans lucky to a certain extent and one wonders with the new democratic rule they cry for will it improve or worsen life for them. Yes, Gaddafi has spent millions of Libya`s money on personal ventures but is the average Libyan poor? We know others who take a country and destroy it until you feel like there is no hope of restoring this country… looting some prefer to call it. Did Gaddafi loot Libya in any way?
Now let us get to the unknown facts about the Libyan dictator Muammar Gaddafi:
download

1. There is no electricity bill in Libya ; electricity is free for all its citizens.
2. There is no interest on loans, banks in Libya are state-owned and loans given to all its citizens at 0% interest by law.
3. Home considered a human right in Libya – Gaddafi vowed that his parents would not get a house until everyone in Libya had a home. Gaddafi's father has died while him, his wife and his mother are still living in a tent.
4. All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinar (US$50,000) by the government to buy their first apartment so to help start up the family.

download

Traditional wedding in Tripoli, Libya

5. Education and medical treatments are free in Libya . Before Gaddafi only 25% of Libyans are literate. Today the figure is 83%.
6. Should Libyans want to take up farming career, they would receive farming land, a farming house, equipments, seeds and livestock to kick-start their farms – all for free.
7. If Libyans cannot find the education or medical facilities they need in Libya, the government funds them to go abroad for it – not only free but they get US$2,300/mth accommodation and car allowance.
8. In Libyan, if a Libyan buys a car, the government subsidized 50% of the price.
9. The price of petrol in Libya is $0.14 per liter.
10. Libya has no external debt and its reserves amount to $150 billion – now frozen globally.

download

Great Man-Made River project in Libya … $27 billion

11. If a Libyan is unable to get employment after graduation the state would pay the average salary of the profession as if he or she is employed until employment is found.
12. A portion of Libyan oil sale is, credited directly to the bank accounts of all Libyan citizens.
13. A mother who gave birth to a child receive US$5,000
14. 40 loaves of bread in Libya costs $ 0.15
15. 25% of Libyans have a university degree
16. Gaddafi carried out the world's largest irrigation project, known as the Great Man-Made River project, to make water readily available throughout the desert country.

Which other dictator has done much good to his people besides

 
Lini itapeperushwa robo mlingoti? Wakati AU itakapokosa hela za kijiendesha
 
nijambo zuri kukumbukwa kwa kushushwa bendera nusu mlingoti. Alihimiza umoja wa waa africa kwa dhati. Hakuwahi kuwa mshirika wa osama. Tena watu walio kuwa na msimamo wa osama ndo hao wanashangilia nawengine wamo kwa NTC Gadafi alikuwa muislam lakini libya aliifanya kuwa ya kisecula. Utawala wake haukuwa wakidini kama iran ina sadikika yaliyomtokea gadafi na saadam hussen ni utabiri ama ahadi ya imam khomein mungu amrehemu, ambaye alikuwa ni kiongozi wa mapinduzi ya kiislam wa iran, aliwa tabiria watakufa kifo kibaya kama hicho baada ya gadafi na saadam kukataa maombi ya imam khomein kuzifanya nchi hizo yani libya na iraq kufuata mtindo wa iran kusimamisha dini ndio isimamie nchi kina gadafi walikataa, alicho waambia pona yenu mkikubali uislam kusimama ktk nchi zenu au muungane na wanaharakati wakiislam hapo mtakuwa salama , sasa ndio yamewakuta lakini hili halisababishi tumchukie gadafi si tz tunamuunga mkono bila ya kusita
 
soma history wacha kurukia mambo usiyoyajua qaddafi was a hero and an icon of africa countries

Mpashe huyu asiyejua vyakwao badala yake anashabikia propaganda za wazungu na vibaraka wao. Gadaffi shujaa,Mugabe shujaa na Ahmednijad shujaa pia Hugo Chavez.Hawa ni baadhi ya mashujaa waliosalia katika ulgmwengu ukiacha Gadaff aliyetangulia mbele za haki. Jaman tusome sana na tutumie na akili.
 
Back
Top Bottom