Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

29.jpg
 
Rais was China anautubia ulimwengu akiwa tanzania, balozi was China anafanya kazi za kinana. mmhhh!!!
 
M.K.W.E.R.E bana!!Kweli nimeamini kucheza bao na kurusha tiara ndiyo fani ya huyu mswahili kutoka Msoga na sio Uongozi wa Nchi.Majanga haya!!!!
 
Mie sioni tatizo na kama inawezekana pandisheni bendera za nchi zote
 
M.K.W.E.R.E bana!!Kweli nimeamini kucheza bao na kurusha tiara ndiyo fani ya huyu mswahili kutoka Msoga na sio Uongozi wa Nchi.Majanga haya!!!!

Haa haa haa nimecheka sana hadi nikatokwa na machozi ingawa ndie rais wetu.Nakumbuka Lipumba alisema akipata urais atampa wizara ya utamaduni na michezo ili aungane na Khadija Kopa kwenye mipasho.Hakuishia hapo akasema atafiti sana ile ndo fani yake.Jama tendelee kuomba hii nchi ina vituko ambavyo ni majanga.
 
Napenda sana mitizamo yetu watanzania. Wamebeba kila kitu wameimarisha utawala wao kuanzia bahari ya hindi mpaka bahari ya atlantiki leo tunasumbuka na bendera ni bora tungeunganisha nguvu tukawaondoa mawakala wao wanaokula kwa mikono miwili.
 
Wana JF naamini hamjambo!

Kwasababu JF ni kisima cha maarifa, na ni jukwaa la great thinkers naomba mnisaidie jambo moja.

leo katika matangazo radio clouds wamesema kesho bendera ya China inapandishwa mlima Kilimanjaro? Jambo hili limenistua nikawa na maswali mengi baadhi ni Kama yafuatayo:-

- Je inapandishwa huko kufanya nini? For every reaction there is equal and opposite reaction. Sasa malengo hasa ni nini?
- Baba wa Taifa kupitia baba yetu Marehemu Nyirenda alipandisha bendera ya TZ kwa ajili ya UMOJA, AMANI, UTULIVU nk
- Kwenye ulimwengu wa Roho hili jambo lina maana yake. Basi mpango wowote muovu Mungu aubatilishe, TZ ni ya watanzania.
- Na Kama mpango ni mzuri na utakuwa na faida kwa watanzania basi na usimame.
- Kama kuna viashiria vyovyote vya ushirikina basi basi Mungu avibatilishe. miungu ya kigeni hatuitaki TZ.

Kama nimekosea basi nisamehe na panapohitaji marekebisho au mchango basi UZALENDO wako utumike.

Queen Esther

Nchi imeuzwa na kuna siku itaanza kupepea Ikulu.
 
Labda nikwambie. Tanzania kwa kuwa ombaomba tumezuiwa kufanya biashara ya rasilimali zetu. Ngorongoro na Kilimanjaro, Serengeti na kwengineko wanataka tusiwe na watalii wengi! Kisa tutaharibu uhalisia wa mbuga zetu. Kumbe wanataka wafanye wao. Eti world Heritage site! What do we get from that! Its peanut compare to what others they get! Wakati Tanzania ni ya pili ukiacha Brazil kwa vivutio vya utalii haiko hata kwenye top 10 in africa kwa mavuno ya watalii wanaotembelea Africa! Miaka kadhaa huko nyuma South Africa waliwahi kutaka wakabidhiwe Mlima Kilimanjaro wauendeshe! Sasa kuna za mvunguni kuwa wachina wanataka kutengeneza conveyor belt ili porters wasiende tena mlimani. Kwa mujibu wa sheria mwenye leseni ya kupandisha wageni mlimani ni Mtanzania aslimia 100! Sasa wanaintrduce TALA fee ya dola 6000 badala ya sasa ya dola 2000! Ni Watanzania wangapi wanaweza kulipa. Mkishindwa kulipa kinafuatia nini kama sio kauli kama za Muhongo! Watanzania hawana uwezo tuwaachie wawekezaji! Watanzania tuamke sasa!
 
Na mimi nitapandisha ya YANGA kila mtu ni kusimika bendera tu sasa hata za makampuni
 
sasa kwani what a big deal?- It is just a gesture ya urafiki baina ya Tanzania na china, na wala haimaanishi mlima unahamishwa kwenda china. ni sawa na mahoteli makubwa unakuta bendera za nchi mbalimbali.

Mathalani zikiwekwa bendera za nchi mbalimbali ni motisha kwa wapandaji kutoka nchi hizo kupanda mpaka kileleni na kuzifikia bendera zao, it is just a psychological incentive!. let us think big guys!
 
Tungoje ikiwa hii habari ni kweli an bendera itapandishwa kutakuwa na maelezo ni ni lengo.
 
Ikiwa kweli itapandishwa basi lengo ni kuimarisha uhusiano baina ya nchi mbili rafiki
 
mt everest Upo Nepal acha kutuibia akili
Unajiibia akili mwenyewe .. Mt Everest upo China na Nepal (kila mtu anajua kwamba mpaka wa China & Nepal runs across the precise summit point of Mt. Everest). Of course unapandika kirahisi upande wa Nepal
 
Back
Top Bottom