Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

Bendera ya China kupelekwa mlima Kilimanjaro

No Sawa ipandishww itakuwa ni kivutio cha kiutalii na pia guiness book itaingia ktk maajabu ya dunia hamuoni kama ni Neema kwa nchi yetu acheni ufukunyuku
 
ha ha ha cheki povu. kama tu iko documented kwamba Mount Kilimanjaro was discovered by a certain guy named Johannes Rebman na watoto wanajibia mitihani hadi leo inakuwaje mnashangaa hili la kuweka bendera??? nobody had the balls to say kwamba wachaga walikuwepo pale since, afu leo tunashangaa hili seriouuuuuusllllly????? utumwa africa its a DNA thing. wont escape!!
 
maajabu ya 11 ya dunia, mambo ambayo hayafanyiki duniani kwa Tz yanafanyika, tena kawaida tuuu. Hahahaa kesho ni mapumziko hamna kwenda kazini sababu ni B'day yangu.
 
No hii kitu haiwez kuwa kweli!!!!.
"kwa sauti ya kujifariji"
 
Yoooote haya yanatokea sababu ya mtu mmoja tu kukamatwa na madawa ya kulevya na kusamehewa kunyongwa tofauti na hapo nchi yetu haikuwa hivi na hawa wachina.
 
Haha dah! Bora nduguzetu wakenya wangepandisha maana wanautamani sasa hawa wachina lazima wataondoka na kitu pale!
 
Hapo wanataka kuweka makombora ya kuwatisha wamarekani, siunajua wachina walivyo wabishi. Kule central asia, wachina wamewatoa baru watibet katika nchi yao, kisa tibet is the highest largest plateau on earth. Vyanzo vya maji vyote vya mito inayoteremka kuelekea India nk in central Asia vvinanzia katika vilele hivyo vya Tibet. Sababu kubwa nini, strategic location kwa ajili ya vita. Ukishika vyanzo vya maji hamna ujanja, ukiweka makombora milimani shabaaha ndo inaongeza. China wanaugomvi wa mipaka na nchi zote wanazopakana nazo.

Kama tumefika huko, majeshi yetu itabidi nayo tulibinafsishe kwa china tu. Du, kweli kupigia kura CDM au upinzani ni muhimu sana.
 
images
Senseless pararanoia. Haya hiyo bendera ya Marekani na za nchi nyingine nyingi tu juu ya Mt. Everest (China).
 
Baadaye watakuja kupandisha ng'ombe wetu, na hatimaye hadi wake zetu huku tunawaangalia tu......
 
Bendera iliyopandishwa pale ilikua ku-symbolize pride na value zetu kama taifa.

Leo China wanapandisha pale kwa reason zipi zenye ushawishi kwa maslahi ya nchi na bara la Afrika?

Kwa kuzingatia malengo ya kupandisha bendera yetu siku ya uhuru,now our sovereignity as a state is at stake !

Sovereignty..
Mnataka mkumbushwe mara ngapi Tanzania ni overseas territory ya Wachina?
Mchina anakuja.kuuza hadi karanga nchini za shilingi mia mia bado mnadhani hii nchi sio yao pia?
 
Wakiipandisha tutaomba na mlima ubadilishwe jina uitwe jina lao.nasi ule ukuta mkuu wa china tutaubadili jina uitwe tandale popo bawa.
 
Wanamaanisha kuwa wataendelea kuvuna Ndovu,kutuletea bidhaa fake na sisi tutawapelekea unga kwao
 
Hii ndo serikali ya ccm.. Wameshauuza tayari. Hivi term hii nani kakamatwa na unga kule.

Kwa kweli hili jambo ni kubwa sana kiroho tuungane sisi wote tusio na dini na wenye dini kuomba na kufuta kila maagano ambayo wachina wanataka kutuingiza ili tuitumikie miungu yao.Majuzi walifanya sherehe za mwaka wa kichina hapa kwetu hii sasa ni too much!!Kule mwanza walichana noti ya elifu kumi!!pikipiki zao kila siku zinamwaga damu kwa hiyo miungu yao na mapepo yao yamepata nguvu ya kututawala kwani wanapiga hata polisi wetu.Walichagua miungu mipya ndipo kukawa na vita malangoni.Watanzania tuombe tusiangalie hili jambo kisiasa.Ee Mungu uturehemu
 
vyovyote iwavyo mkuu , lakini hakuna uhalali wowote kwa bendera ya china kupandishwa kwenye mlima wetu .

mlima kilimanjaro sio mali ya mtu bali ni ya wananchi wote wa nchi hii, kupandisha pale bendera ya china bila hata kuwajurisha wananchi kuwa inamalengo gani pale ni dharau kwa umma wa kitanzania. Viongozi wetu wamelewa madaraka ndio sababu wanaanza kutuona wananchi wajinga. Lakini wajue iko siku watakimbia hii nchi muda si mrefu.
 
Bendera iliyopandishwa pale ilikua ku-symbolize pride na value zetu kama taifa.

Leo China wanapandisha pale kwa reason zipi zenye ushawishi kwa maslahi ya nchi na bara la Afrika?

Kwa kuzingatia malengo ya kupandisha bendera yetu siku ya uhuru,now our sovereignity as a state is at stake !
yes our sovereignity as a state is now at stake huku kwetu tunaita ari zaidi ,nguvu zaidi na kasi zaidi eeh! mungu tusaidie hivi ni sehemu gani ya China ukitoa ubalozi unaweza kupandisha bendera ya TZ!
 
Back
Top Bottom