Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
- Thread starter
- #41
Kwa kweli hili jambo ni kubwa sana kiroho tuungane sisi wote tusio na dini na wenye dini kuomba na kufuta kila maagano ambayo wachina wanataka kutuingiza ili tuitumikie miungu yao.Majuzi walifanya sherehe za mwaka wa kichina hapa kwetu hii sasa ni too much!!Kule mwanza walichana noti ya elifu kumi!!pikipiki zao kila siku zinamwaga damu kwa hiyo miungu yao na mapepo yao yamepata nguvu ya kututawala kwani wanapiga hata polisi wetu.Walichagua miungu mipya ndipo kukawa na vita malangoni.Watanzania tuombe tusiangalie hili jambo kisiasa.Ee Mungu uturehemu
Ni kweli ndugu yangu. Kuna maandiko yanasema utaingiaje kwenye nyumba ya mwenye nguvu na kuteka vitu vyake usipomfunga kwanza mwenye nguvu?
Kila mtu na aombe maana ipo nguvu katika UMOJA. Kikubwa ni kutotawaliwa na miungu ya kigeni ambapo tusipoangalia tutaendalea kuwa watumwa na masikini katika nchi yetu wenyewe.
Usidhani wachina wamelala tu na kuamka wakataka kupandisha na kuweka bendera mlima Kilimanjaro. Viko vitu vya kiroho vilivyowasukuma kufanya hivyo. Aidha wameshapitia kuangalia udhaifu uko wapi na wafanye nini kututawala kirahisi - GOD FORBID.
Queen Esther