Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

SASA NAANZA KUPATA PICHA, SUMU YA MANGULA!

Ni katika awamu ya nne ya kaka yako na wewe ukiitwa waziri mwandamizi ndani ya serikali ndipo mlipomtimua mzee huyu akaenda kulima nyanya kijijini kwake.
Na JPM kwa kuujua uadilifu wa mzee huyu pasi na shaka alipochukuwa uongozi alimrudisha kutoka shambani.
Ili amsaidie majukumu anayotekeleza mpaka sasa.
Ndo mtaji wa JPM huu... yaani mnashindwa kufahamu hata mambo madogo!! Unaweza kunitajia Makamu Mwenyekiti CCM - Taifa alikuwa nani wakati JPM anaingia madarakani?!
 
Kama chama cha republican wanaruhusu huo utaratibu, aende huko akagombee urais wa marekani. CCM ipo TZ na inautaratibu wake ambao si lazima ufanane na chama kingine. Kama anateseka na muwasho wa kugombea urais wa TZ, ahamie chadomo au kile chama cha mkongoman Zitto, huko atakunwa vizuri tu na atafurahia show.
Umeandika kinyesi tu
 
Ma
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Marekani imefikia kiwango cha juu sana cha kujitawala. Raisi wa marekani anaweza akatolewa madarakani na mwingine akaingia na baada ya wiki akatolewa - hivyo hivyo mfululizo wakafika kama sita hivi na nchi isiyumbe sana!
Lakini nchi zetu changa kitu kidogo tu katika uraisi kikitokea kama kubadirisha raisi ghafla nchi itayumba sana hata kuanguka kiuchumi na vinginevyo!
Siyo kitu cha kuombea nchi zetu na wala kisijaribiwe.
Mtu mwenye akili timamu na aliye enda shule, hawezi katu kulinganisha USA (America) na URT (Tanzania). Trying to justify the unjustifiable! Na ashindwe abakie Twitter tu - asitoke kuwania uongozi wowote.
Huu utamaduni wa CCM wa kumuacha rais atimize miaka 10 (vipindi 2 mfululizo) iliegemea hapa to stabilize our country. Huyu mutu ingine agekuwa anayajua hayo!
 
2010 mbona hakusema kwa JK au kwasababu alimhaihidi kumpa urais kama pipi. Mbona Mwaka huu unachonga sana. 2000 mbona huku hoji haya au ulikuwa bado mtoto. Acha upumbavu membe hata heshima niliyokuwa nakupa nitaondoa sasa.
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Mbobezi wa foreign naona wanaanza kuongea uongo, kwani nomination ya Mgombea wa republicans bado hawajafanya hizo primaries election.

Zaidi ya hapo hiyo ya kugombea dhidi ya incumbent President is highly discourage kama ilivyo kwa CCM, sio inazuiliwa

Kama ilivyo nunulia hapa chini

"A primary challenge occurs in U.S. politics when an incumbent elected official is challenged in an upcoming primary election by a member of their own political party. ... A primary challenge thus interferes with this "spoil of office," and is largely discouraged"
 
Who are the Republicans challenging Trump for 2020 nomination? | USA ...
9 Mar 2020 · Only one candidate is now vying to defeat Trump for Republican nomination in the ... Bill Weld is a former Massachusetts governor who served two terms ...



N.a. hata wa democrats ni presumptive presidential nominee mpaka baada ya mkutano mkuu .
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440


Republicans moving 'full steam ahead' with their August convention to nominate Donald Trump for second term after Democrats delay their gathering due to coronavirus
 
Huyu Membe nae anaonyesha jinsi alivyo kilaza. Maneno mengiiiiiiiii halafu form hachukui. Membe kachukue form au funga mdomo wako.
 
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

View attachment 1487440
Membe ni mpumbavu na hana akili kwa sababu tangu amekuwa CCM utaratibu wao wana CCM ni kuchukua fomu zaidi ya mtu mmoja mara Rais anapomaliza miaka kumi kama inavyofanyika Zanzibar lakini sasa analazimisha mambo wakati ukweli anaujua na hiyo sifa pekee ya kumuona kuwa hafai kwa sababu toka Mwinyi utaratibu umekuwa huo sasa Magufauli amekuja na lipi jipya linalomfanya abwatuke kutwa kucha mitandaoni ?
 
Sidhani kama jiwe anazijua hizo.maana membe hajaambiwa sababu yeyote na wamempiga chini.jiwe itabidi ajitafakali kwanza maana hatoweza kupambana lisu.

Kuna wakati ushabiki unazidi humu ndani hadi facts tunazisahau, vile vikao vilivyofanyika Dodoma pale vikiwahusisha Membe na kamati kuu ulivifuatilia? Inawezekana Membe hakuwa na makosa kisheria (japo kibinadamu alikua na makosa), lakini tabia aliyoionesha baada ya kuitwa kwenye vikao haikua ya kupendeza, alistahili kupata adhabu.
 
Back
Top Bottom