Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

baro

JF-Expert Member
May 12, 2014
2,988
3,732
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili

Screenshot_20200624-090252~2.jpeg
 
Kama chama cha republican wanaruhusu huo utaratibu, aende huko akagombee urais wa marekani. CCM ipo TZ na inautaratibu wake ambao si lazima ufanane na chama kingine. Kama anateseka na muwasho wa kugombea urais wa TZ, ahamie chadomo au kile chama cha mkongoman Zitto, huko atakunwa vizuri tu na atafurahia show.
 
Back
Top Bottom