Bishweko
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 3,272
- 2,419
Pole pole utaelewa mkuu..wewe ni mtanzania kumbuka.Nenda taratibu tu ndiyo utaelewaSasa kumbe ulipohoji ikiwa FL ipo Muleba hoja yako hasa ilikuwa ipi?! Manake sikuelewi!
Pole pole utaelewa mkuu..wewe ni mtanzania kumbuka.Nenda taratibu tu ndiyo utaelewaSasa kumbe ulipohoji ikiwa FL ipo Muleba hoja yako hasa ilikuwa ipi?! Manake sikuelewi!
Ndo mtaji wa JPM huu... yaani mnashindwa kufahamu hata mambo madogo!! Unaweza kunitajia Makamu Mwenyekiti CCM - Taifa alikuwa nani wakati JPM anaingia madarakani?!SASA NAANZA KUPATA PICHA, SUMU YA MANGULA!
Ni katika awamu ya nne ya kaka yako na wewe ukiitwa waziri mwandamizi ndani ya serikali ndipo mlipomtimua mzee huyu akaenda kulima nyanya kijijini kwake.
Na JPM kwa kuujua uadilifu wa mzee huyu pasi na shaka alipochukuwa uongozi alimrudisha kutoka shambani.
Ili amsaidie majukumu anayotekeleza mpaka sasa.
Umeandika kinyesi tuKama chama cha republican wanaruhusu huo utaratibu, aende huko akagombee urais wa marekani. CCM ipo TZ na inautaratibu wake ambao si lazima ufanane na chama kingine. Kama anateseka na muwasho wa kugombea urais wa TZ, ahamie chadomo au kile chama cha mkongoman Zitto, huko atakunwa vizuri tu na atafurahia show.
Marekani imefikia kiwango cha juu sana cha kujitawala. Raisi wa marekani anaweza akatolewa madarakani na mwingine akaingia na baada ya wiki akatolewa - hivyo hivyo mfululizo wakafika kama sita hivi na nchi isiyumbe sana!Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Acha kubweka kwa uwoga wewe..ukiona binadamu anajifananisha na mbwa huyo achana nae, hongera kwa kujiona lijimbwa likali ila usiniambukize mimi uzwazwa wako
Mbobezi wa foreign naona wanaanza kuongea uongo, kwani nomination ya Mgombea wa republicans bado hawajafanya hizo primaries election.Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Nitakunya mafungu mafungu toka ubungo mpaka fireMagufuli anakwenda kuandika rekodi ya rais wa kwanza tz kuongoza muhula mmoja
Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
mimi siwezi kubweka kwa uoga wala kwa ujasiri, bweka wewe kivyovyote wewe si uanajiona mbwa, bweka tuAcha kubweka kwa uwoga wewe..
Kula mapalachichi ya kutosha ili ikifika siku hiyo uharishe vizuriNitakunya mafungu mafungu toka ubungo mpaka fire
Jiwe anabweka huku anajificha na nakuona unafata nyendo zake.mimi siwezi kubweka kwa uoga wala kwa ujasiri, bweka wewe kivyovyote wewe si uanajiona mbwa, bweka tu
Kweli nimeamini binti una matatizo, shemeji ana kazi sana kwako, anyways ngoja niachane na wewe hopefully uko MPSasa dada yangu unataka nikujibu wakati hamna swali..sio kila kwenye alama ya kuuliza ni swali.
mfulumanamanyokoJiwe anabweka huku anajificha na nakuona unafata nyendo zake.
Nashukuru, na wewe pia.bweka tena.mfulumanarmanyoko
Membe ni mpumbavu na hana akili kwa sababu tangu amekuwa CCM utaratibu wao wana CCM ni kuchukua fomu zaidi ya mtu mmoja mara Rais anapomaliza miaka kumi kama inavyofanyika Zanzibar lakini sasa analazimisha mambo wakati ukweli anaujua na hiyo sifa pekee ya kumuona kuwa hafai kwa sababu toka Mwinyi utaratibu umekuwa huo sasa Magufauli amekuja na lipi jipya linalomfanya abwatuke kutwa kucha mitandaoni ?Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
View attachment 1487440
Sidhani kama jiwe anazijua hizo.maana membe hajaambiwa sababu yeyote na wamempiga chini.jiwe itabidi ajitafakali kwanza maana hatoweza kupambana lisu.