Acha us*n*e, ambaye hapwai nani Kagame au M7? Kagame kumtukana raisi wa nchi ya wenzake ndo anajua Diplomat!!
Hatuhitaji kushirikiana na watu wa staili ya Rwanda, Uganda wala Kenya. Tujitoe EAC, kwanza ilibidi tujitoe mda tu ila nafikiri politician wetu ndo walikuwa wanawabeba hawa fitna ila kwa sasa hata politicians wetu wameshaona jamaa hawabebeki na wasifanye kosa la kuchelewa kujitoa, ni kufanya tathmin ya chapchap kuona hatupotezi mali zetu na kama kuna mambo ya kisheria yanayohitaji kuwekwa sawa then kujitoa. Baada ya hapo we need to have plan B na ipo ambayo ni SADC na of course kuongeza ushirikiano wa kimkakati na DRC pamoja na Burundi.
Kujenga Reli ya kati na Tazara kwa viwango vya kisasa na kuhakikisha zinakuwa full operational, treni za abiria na mizigo ziwe zinasafiri kwa wingi kwa hiyo ita stimlate uchumi na hata hao wanafiki watakuja wenyewe kutumia mbiundombinu yetu hawana lolote wana njaa tuu.
Mifano ya njaa zao iko wazi, wa karibu kabisa ni huu wa wahamiaji haramu wanafukuzwa lakini still wanarudi maana yake kwao hakukaliki, pili kuna wanyarwanda, waganda wengi tu wamenufaika na education system ya TZ (mfano Raisi wa Uganda amesomeshwa hapa bongo na kupewa mafunzo na hata kusaidiwa kwenda uganda Kuchukua nchi) the same applies to Kagame! Kagame na Museven ni mifano ya nchi zao kuwa zina njaa na wamenufaika kupitia rasilimali za TZ na msaada wa TZ. Kwa hiyo sisi tujenge na kuboresha reli na Bandari zetu ziwe na ufanisi wa juu sana hawa jamaa fitna watakuja tu mana wana njaa na washazoea kudoea rasilimali zetu bila aibu watakuja.
Na sisi tuna rasilimali rai yangu tujenge reli zetu, tununue mabehewa na vichwa vya treni bila kuwashirikisha p*m*a*u kabisa hawa
Membe kwenye masuala ya diplomat anapwaya saaana...