Benard Membe asema wenzetu afrika mashariki wametutenga!

Benard Membe asema wenzetu afrika mashariki wametutenga!

Its not true tupo central geographically lakini in developed and decision making tupo kando sana.we lack policies e.g our education system changes over night.we shd ask our selfs what makes our neighbors sh strong but not compln

Acha uwoga wa kijinga! Mitanzania mingine sijui ikoje! Yaan pamoja na nchi yako kubarikiwa bado wanajiona wanyonge kwa nchi kama Kenya! Hawana kitu jiamini kijana! Wanakutisha na kiingreza chao.?
 
.
.
.
.
.
.
.
unaota wewe,tangu lini tanzania ina plan b?....eti wajenge reli kuunganisha sijui tanzania na drc na kuiboresha tazara iwe ya kisasa,p@mb@f reli ya kati tu inatushinda ndio reli mpya?wewe utakuwa mgonjwa tu sio bure.
.
.
.
.
.
muungano na zanzibar tu unatutoa jasho ndio tutaweza wa nchi tofauti?
.
.
.
.
embu toka hapa!

Sawa kabisa; sasa achaneni na Tanzania endeleeni na "evil of axis"
 
Tanzania haijatenga ila nchi hizo zimejitenga
Hatujapewa notice kwamba tumetengwa ila kunadalili za nchi hizo kujitenga. Sarakazi za nchi hizo tatu Kenya, Uganda na Rwanda kujitoa zilianza kwa bunge la Afrika mashariki, pale wabunge wa nchi hizo walipotoka nje ya bunge kugomea vikao kufanyika Arusha na wakataka vikao vifanyike kwa mzunguko kila nchi. Nadhani hiyo ilikuwa ni ishara ya mzizi wa fitina kuanza.
 
Heri ya pimbi kuliko "Dudus".

Humu ndio tumo, tena wengi sana, mtafute pakutokea.

Ha ha ha! Wewe kweli ni foxy. Naona hata kinyaa kutamka maana ya hilo neno! Huna hata haya.
 
Membe anaongea utadhani yuko kijiweni. Usipoteze muda kusikiza mahojiano yake na channel10.
 
Na wewe usituletee upumbavu wako hapa, Tanzania hatuna "Secretary of State".
Mkuu husishangae Watanzania tuna vimbwanga vya kila sampuli, si ajabu ujio nchini wa ma Rais watatu at a GO (i.e B.Obama, William Clinton na G.W.Bush) kuna baadhi yetu tumeuchukulia ujio huo kama ni ishara tosha ya kuifanya Tanzania hiwe STATE ya 51 ya Uncle SAM!!
 
Wadanganyika hamjatengwa EAC pekee bali hata kwenye muungano na zanzibr mlikwisha tengwa zamani,kilichopo ni udikteta wa wadanganyika tu.
 
Team Membe..huyu jamaa yuko vizuri 2015 lazima achukue nchi tunataka viongozi wenye msimamo na kauli zenye mshiko...Tanzania inaweza bila EAC...wao ndo wanatuhitaji sana sisi kuliko sisi tunavyowahitaji...nchi zenyewe zinazopiga kelele ni landlocked hazina manufaa kwetu zaidi ya ukabila na mauaji tu miaka nenda miaka rudi...na viongozi wao ni watakuja kuwa watuhumiwa ICC muda ukifika lets wait and see...namuomba JK atoe tamko la Tanzania kujitoa EAC...ili tujue moja na tuconcentrate na SADC na wenzetu Kongo na Burundi...Go go goo Membe.
 
Sasa ndio nini hii? Tanzania ilikuwa busara kwa wahusika kujiuliza kwa nini hili kuliko kujigamba twaweza wenyewe bila Jumuiya ya Afrika Mashariki.. Paul Kagame amesema kinachofanya iwe ilivyo ni kuharakisha maendeleo kwani nchi husika inazembea sasa wao wameamua kufanya kweli..kwa nini Tanzania hatuchukui hatua kuliko kukaa kwenye majukwaaa na kulalamika kama watoto wadogo walionyimwa peremende. Tuangalie wapi tunakosea na turekebishe period.
 
Sasa ndio nini hii? Tanzania ilikuwa busara kwa wahusika kujiuliza kwa nini hili kuliko kujigamba twaweza wenyewe bila Jumuiya ya Afrika Mashariki.. Paul Kagame amesema kinachofanya iwe ilivyo ni kuharakisha maendeleo kwani nchi husika inazembea sasa wao wameamua kufanya kweli..kwa nini Tanzania hatuchukui hatua kuliko kukaa kwenye majukwaaa na kulalamika kama watoto wadogo walionyimwa peremende. Tuangalie wapi tunakosea na turekebishe period.

Swali la msingi ni kwanini tumekwenda sambamba na wenzetu wakati wa utawala wa mzee Mwinyi na Mkapa? Siku hizi tunashindwa nini? Jibu tuna uongozi dhaifu kuliko wakati wowote ktk Tanzania huru!

Mabingwa wa kuzurura hawawezi pata muda wa kukaa kitako na kupanga maendeleo ya wananchi. Tunahitaji watu wapya. Kwa kuanzia ushauri wangu Wizara ya Mambo ya Nje ateuliwe aidha mama Migiro ama balozi Dr. Agustine Mahiga. Na EAC,mzee Sitta apumzishwe,apewe balozi Mwapachu ama Kazaura. Hii ifanyike kama hatua ya muda.mfupi,wakati tukipanga mikakati ya muda wa kati na mrefu jinsi nchi yetu itanufaika ktk EAC.
 
Bora watangaze rasmi tu kujitoa, kuliko kila kukicha hawa majirani zetu kutubeza na kejeli zao.

Huu muungano wetu wa EAC unafaida gani kwenye taifa maana atlest SADC it clear socio-economic is the motive, kwa hivyo unajua kaburu anakuja kimaslahi zaidi kuliko chochote alikadhilika na sisi tuna fursa hizo hizo kwao.

Lakini hawa mungiki and their friends want more wakati huo huo hawataki kujiweka katika mazingira ambayo supranational politics ziweze fanya kazi kama wanavyotaka. Kama wanataka kuungana kwa madai ya strong ties na parliament na mambo mengine yenye elements za federalism lazima kuwe na mpango na mazingira ambayo yana ruhusu hivyo katika nchi zote in the long run.

Kama dhumuni ni kufanya biashara with less restriction, free movement of people, single currency in the future Tanzania lazima idai hizo nchi ziwe na demokrasia imara. Raisi wetu baadae hawezi msupport presidential candidate wa nchi zao kwa sababu za ukabila wake bali sababu ziwe kimawazo yao ya maendeleo ya region yanayo fanana.

Sasa tunaungana vipi na watu ambao wao wenyewe hawajaweza jijenga kama taifa in terms of identy, mara sijui kikuyu, sijui tutsi/hutu , huko Uganda sijui acholi ana chake. Huku ni kutuweka kwenye utata baadae kwakua jamaa hawapo stable kisiasa mpaka dakika hii leo wanalilia muungano wenye supra decisions process, hii mikataba ni kwa ajili ya watu wao wote maana there vast groups who do not participate in the current decisions especially in Uganda, Kenya and Rwanda.

Kibaya zaidi ni watu ambao hawaonyeshi nia kweli ya kubadilika na wenye nia ya muungano wanaoutaka kwa sababu the idea behind what they propose is closer integration as one, hapo wanataka kutuharibia na neighbours wengine kwa sababu zao wao za kisiasa. Ni swala jepesi sana Rwanda aiwezi kuwa inapigana na huko Goma akijua Congo ni jirani mwema wetu Tanznania.

Huu muungano ubaki tu kama anyother intergovernmental union kwa upande wetu na tuchukue venye maslahi yetu kwa sasa lakini muungano wanaoutaka wao bado sana kwa sababu those goals are based on respect and a stable democracy for policies to function Tanzania kujiingiza huko in the long run ni sawa na kuwa-back hawa madikteta Kagame na Museveni na vilevile kupasua kichwa za siasa za ukabila Kenya.

Muungano ubaki tu wa kimaslahi tuachane na hizi hadithi zao za passport, land-right, bunge la EAC na uwendawazimu wengine they are no good to us considering their current local politics and what they demand from our part. In the future labda tufikirie lakini kwa sasa especially under Museveni, kagame and kenyatta we should officially withdraw our interest.
 
Swali la msingi ni kwanini tumekwenda sambamba na wenzetu wakati wa utawala wa mzee Mwinyi na Mkapa? Siku hizi tunashindwa nini? Jibu tuna uongozi dhaifu kuliko wakati wowote ktk Tanzania huru!

Mabingwa wa kuzurura hawawezi pata muda wa kukaa kitako na kupanga maendeleo ya wananchi. Tunahitaji watu wapya. Kwa kuanzia ushauri wangu Wizara ya Mambo ya Nje ateuliwe aidha mama Migiro ama balozi Dr. Agustine Mahiga. Na EAC,mzee Sitta apumzishwe,apewe balozi Mwapachu ama Kazaura. Hii ifanyike kama hatua ya muda.mfupi,wakati tukipanga mikakati ya muda wa kati na mrefu jinsi nchi yetu itanufaika ktk EAC.

Hakuna utumwa mbaya duniani kama utumwa wa fikra,watanzania ktk mwasuala yanayo ihusu nchi yetu tunatakiwa tusimame kama tanzania,lakini si kama huu up.u.uz unaouonesha hapa,ni uj.inga kumuona Kagame na wanzake ni bora kuliko sisi,kwa lipi hasa?watu ambao wanaweza kubaguana hata kwa pua zao nafikiri huku ni kukosa akili,kuwepo EAC ni muhimu lakini si lazima inapobidi,hatuwezi kukubali baadhi ya vitu kwenye ushirika ambavyo mwisho wa siku vitaitafuna nchi yetu kwa maangamizo na majuto ya vizazi vijavyo,tunaona wenyewe nchi kama Ruanda imefika hatua kwasababu ya udogo wake inalazimu mifugo yao malisho yafanyike kibabe nchini mwetu,hizi janja zao source ni kuitamani tz na kamwe tamaa zao hazitashinda labda wewe uliuandika uzi huu uwe raisi wa tanzania.
 
Wengi tuliona hatari mbele ya safari tangu Rwanda ilipoomba kujiunga EAC; lakini tulipuuzwa tukaitwa waoga! Ukizembea kuwadhibiti siafu wakati wa mwanzoni ujue watakuhamisha chumba!
 
Waziri wa mambo ya Nje Mh Benard Membe anafafanua wazi kuwa Wenzetu tayari wameisha tutenga!anafafanua kwenye Channel ten now Live!

=========================UPDATE FOLLOWING==============================

Updates vp mkuu?
 
Membe logic ya kufanya biashara na DRC is flawed. Biashara ya uhakika na DRC inategemea amani ya kudumu. Je DRC itatulia leo au Kesho? DRC haijatulia tangu enzi ya Mobutu and rather sadly unlikely to achieve lasting peace in the near future. Hivo biashara na DRC ni ndoto za mchana au tuvute subra hadi mwaka 3000 DRC "ikiunga". Muheshimiwa acha chest thumping, kuwa mpole. A bird in hand is worth two in the bush
 
Membe logic ya kufanya biashara na DRC is flawed. Biashara ya uhakika na DRC inategemea amani ya kudumu. Je DRC itatulia leo au Kesho? DRC haijatulia tangu enzi ya Mobutu and rather sadly unlikely to achieve lasting peace in the near future. Hivo biashara na DRC ni ndoto za mchana au tuvute subra hadi mwaka 3000 DRC "ikiunga". Muheshimiwa acha chest thumping, kuwa mpole. A bird in hand is worth two in the bush

..biashara kati ya Tz na DRC ni kubwa kuliko kati ya Tz na Rwanda.

..tunayemhitaji ktk EAC ni Kenya tu kutokana na volume ya biashara kati yetu, hao wengine ni very insignificant.
 
waziri wa mambo ya nje mh benard membe anafafanua wazi kuwa wenzetu tayari wameisha tutenga!anafafanua kwenye channel ten now live!

=========================update following==============================

tatizo la membe ni kufanya siasa kwenye mambo ya diplomasia.......kikwete alipokuwa anautaka urais hata mara moja hakuwahi kutumia mambo ya diplomasia kufanya siasa ya urais ...wakati ule kulikuwa na mazungumzo ya amani yanaendelea chini ya mwalimu na baadaye chini ya mandela ...na mara zote kikwete ndio alikuwa ana host kama wizara.....hakuwahi hata mara moja kwenye media kuanza kuongea details za wizara yake ili kujipa mileage kwenye siasa za ndani...

Membe badala ya kutuliza hii hali ya vita ya maneno amekuwa mkolezaji ........kuanzia alivyo handle mgogoro wa malawi hadi kufikia kuingilia mamlaka ya amiri jeshi mkuu kwa kuongelea masuala ya kijeshi dhidi ya malawi[ hadi kupelekea rais kuingilia kwa kumhakikishia rais wa malawi kuwa hakuna hatua za kijeshi ]....
Suala la m23 .....membe amekuwa akilitumia sana kwenye siasa za ndani ili kuonyesha kuwa ana role.......
Huu mgogoro wa afrika mashariki yeye amekuwa anakoleza badala ya kuushughulikia kwa tahadhari......anafanya siasa....!!!!! Badala ya kufanya weledi!!!.....mara atafute platform kwenye radio za binafsi kama clouds na nyingine ..kuongelea masuala ya wizara hasa hili la afrika mashariki na m23 ........utafikiri serikali haina msemaji wake ...,idara ya habari ya maelezo haipo..au radio ya taifa haipo........kwenye cheo kama cha membe kuna protokali za kutoa taarifa ...sio tu kukurupuka kama ambavyo amekuwa akifanya !!!
 
Back
Top Bottom