wengi wetu tunaliangalia hili swala in terms of business opportunities tu, tena with immediate benefits. Wakati vitu wanavyo demand kwenye eac hawa majirani tamaa vina long term impact and may change the way our social structure is at the moment forever.
Tukigombana tena hiyo operesheni kimbuga gharama yake itakuwa ya ajabu. Maana wakenya, wanyarandwa na warundi wanasubiri tuingie mkenge wavamie ardhi na kuja kuchota kwa pupa, their leaders are desperate na what we dont capitalize with the potential of our land resources and other business opportunities.
Tanzania lazima hiwe makini na hawa majirani, there is nothing they offer that we can not get outside eac at the moment and what they demand is more than any other business partner will seek. They are ambitious people especially kenyatta and kagame. Na muungano wanao demand requires mutual respect that includes respecting our other friends and business partners, mnakaa vipi kwenye bunge la eac kupanga maendeleo ya jumuiya wakati humo kuna watu wanapigana vita na mataifa ya rafiki zenu na kutaka kuwaletea wakimbiza, alihali wao wenyewe wanataka kuwaletea raia wao.
Vilevile sababu za eac ziwe zenye nia ya dhati na za muda mrefu sio watu tu wafikirie wapate fursa za ardhi na kuingiza mijitu yao tanzania kiurahisi kisa swala la ardhi limekua tatizo kwao halafu kuna mijitu inaangalia in terms of immediate business opportunities and gains which may be benefit individuals in this life time, wakati wenzao wanataka kufaidika milele na kilicho chetu. Halafu wanatunia neno uoga tuwaogope wana nini in terms of technological advantages walichotuzidi kwa sasa ni utendaji tu.
Tanzania ijitoe tu, maana hawa jamaa hawana nia ya kweli ya kujenga jumuiya ya muda mrefu hili kuweza kukubaliana mambo muhimu kama wanayotaka hivyo vitu vinataka mataifa ambayo yako tayari kuwa pamoja kwa muda mrefu kikubwa ni kuheshimiana si tu kimataifa bali ndani ya mataifa yao wenyewe. Wakenya lazima wafute siasa za ukablia, museveni lazima akubali kuondoka madarakani na kagame lazima aondoke, hili tuwe na uhakika wa kuwa tuna ungana na wakenya, wanyarwanda, waganda na warundi as people na tuna nia ya kujenga eac imara si kibiashara bali kiusalama na utamaduni wa muda mrefu.
Vinginevyo ni kujitafutia matatizo tu ndani ya muungano kwa jinsi wanavyoutaka wao kwa sasa hizo ni porojo tu bali hawana nia ya dhati na ya ukweli. Leo tumeshindwa kumshawishi kagame aachane na goma, kaishia kututukana, kesho tutaweza kweli kumshauri kenyatta aache kampeni za kikabila hili wakenya waeshimiane ndani kwao au kuwambia museveni nepotism imezidi maana hayo wanayotaka wao kwenye muungano ni zaidi ya biashara but also stability in the region wakati siasa zao za ndani bado na wala azina dalili ya kurekebeshika anytime soon wanataka kutubwagia raia wao lakini awana madhumuni ya muungano wanao unadi.