pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
Membe kwenye masuala ya diplomat anapwaya saaana...
Membe alivyoeleza ukweli kua tunatengwa na akatoa sababu,tayar mnakuna na maneno eti anapwaya.angenyamaza mngesemaje?acheni hizo.
Membe kwenye masuala ya diplomat anapwaya saaana...
Acha us*n*e, ambaye hapwai nani Kagame au M7? Kagame kumtukana raisi wa nchi ya wenzake ndo anajua Diplomat!!
Hatuhitaji kushirikiana na watu wa staili ya Rwanda, Uganda wala Kenya. Tujitoe EAC, kwanza ilibidi tujitoe mda tu ila nafikiri politician wetu ndo walikuwa wanawabeba hawa fitna ila kwa sasa hata politicians wetu wameshaona jamaa hawabebeki na wasifanye kosa la kuchelewa kujitoa, ni kufanya tathmin ya chapchap kuona hatupotezi mali zetu na kama kuna mambo ya kisheria yanayohitaji kuwekwa sawa then kujitoa. Baada ya hapo we need to have plan B na ipo ambayo ni SADC na of course kuongeza ushirikiano wa kimkakati na DRC pamoja na Burundi.
Kujenga Reli ya kati na Tazara kwa viwango vya kisasa na kuhakikisha zinakuwa full operational, treni za abiria na mizigo ziwe zinasafiri kwa wingi kwa hiyo ita stimlate uchumi na hata hao wanafiki watakuja wenyewe kutumia mbiundombinu yetu hawana lolote wana njaa tuu.
Mifano ya njaa zao iko wazi, wa karibu kabisa ni huu wa wahamiaji haramu wanafukuzwa lakini still wanarudi maana yake kwao hakukaliki, pili kuna wanyarwanda, waganda wengi tu wamenufaika na education system ya TZ (mfano Raisi wa Uganda amesomeshwa hapa bongo na kupewa mafunzo na hata kusaidiwa kwenda uganda Kuchukua nchi) the same applies to Kagame! Kagame na Museven ni mifano ya nchi zao kuwa zina njaa na wamenufaika kupitia rasilimali za TZ na msaada wa TZ. Kwa hiyo sisi tujenge na kuboresha reli na Bandari zetu ziwe na ufanisi wa juu sana hawa jamaa fitna watakuja tu mana wana njaa na washazoea kudoea rasilimali zetu bila aibu watakuja.
Na sisi tuna rasilimali rai yangu tujenge reli zetu, tununue mabehewa na vichwa vya treni bila kuwashirikisha p*m*a*u kabisa hawa

Tunataka serikali ya TZ iache maneno maneno,tunataka vikao vya TZ,BURUNDI na DRC vianze.tarehe ngapi wanakutana?watajadili nini,utekelezaji unaanza lini?watachelewa mwisho tutasikia Burundi na Drc wameungana na UG, RWND,KNY.sielewi jama wanafanya nini ofisini.
Na wewe usituletee upumbavu wako hapa, Tanzania hatuna "Secretary of State".
hivi unaelewa mtu akiandika kitu halafu akakiwekea funga na fungua semi......elimika
Mi mbona sielewi ,kutengwa vipi?kwa taarifa zilizopo Tanzania ,Rwanda na Uganda wana mradi wa pamoja wa umeme (Rusumo Hydroelectric dam) katika mto kagera unaofadhiliwa na Benki ya dunia ambapo wametoa $340m,mradi huu unakadiriwa kukamilika mnamo mwaka 2020.
Sasa tunatengwa vipi wakti tumo kwenye miradi mikubwa ya region? Membe na viongozi wenzake watuambie nini kinaendelea ,isije ikawa wanayakoroga hovyo hovyo ndio maana mabinamu wanatukimbia(kama kweli).waseme bhana!
Statement ya kipumbavu kabisa hiyo. Siamini imetoka kwa "Secretary of State".
Umeulizwa swali hili "....."Unajua maana yake wewe umequote halafu wewe unaitwa watu pimbi wewe ninani??wewe siyo mzima utakuwa umevurugwa!Aelewe nini huyo ***. Halafu naona mapimbi wenzake wamemgongea "likes" kuonesha yalivyojaa humu JF. Huyo ni wa kuachana naye Mkuu.
CC: FaizaFoxy
The fact kwamba Kagame alimtukana Rais wetu,The fact kwamba kagame na M7 ni marafiki,the Fact kwamba sasa kagame,m7 na Rais wa kenya lao limekuwa moja,,,,,,naunga mkono hoja, the strongest man is the one who stands alone,,Tz will stand alone and strong we will be.Maamuzi ya kujitoa EAC ni lazima yaungwe mkono,,,Kenya walishatugeuza sisi shamba la bibi na huwa wanatuona sisi kama mafala hivi,,Uganda wanataka kuhamisha population yao Tz na mseveni kuwa rais wa EA, na kagame alikuwa anataka kutanua empire yake kusolve matatizo yake ya ardhi......This is too much for us,,,,,
Kwenye mikutano hatushirikishwi eti sema cc watz tuna kiherehere burundi ,kenya na uganda wmeungana na sudan na kuna vikao ndio wanafanya eti kwa hili watz wanataka kushirikishwa
Nahisi unawashwa sio bure.
hivi unaelewa mtu akiandika kitu halafu akakiwekea funga na fungua semi......elimika
Wewe uliyefuatilia mwanzo hadi mwisho tuwekee hizo hoja alizotoa ili tuzijadili vizuri......tusiwe kama wale wahubiri wa mihadhara ambao huchukua kakipande kadogo na kufanya kuwa hoja ya msingi na kuacha mengi ambayo ndo msingi zaidi, kwa aliyetazama kipindi hicho Membe ameongea kwa kina na kwa mapana......sikuwahi kudhani kama Membe ana weledi kiasi kile.....hebu wale waliotazama kipindi hicho waeleze hasa yaliyosemwa na si kuchangia pasipo kujua kilichoongelewa