Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Ben Saanane amlipua Nape Nnauye

Ni kweli unachosema hata ukiangalia CV ya Lema imejaa utata mtupu.

Dr Slaa ana PhD halafu hana B.A wala M.A

Ni kuvumiliana tu.

Ni vema tuwe wavumilivu tu make nae Jk alilala akaamka kajibatiza anajiita "DR"!!!
 
Juliana Shonza,
Haka kabinti ndiyo kiboko ya Chadema.

Kakitokeza tu Pro-Chadema JF karibia wote mapovu yanawatoka.

Duh ! Kweli nimeamini Dunia tambala bovu , yaani Ritz leo unamtegemea Masalia Shonza ?
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la nape anajiona bado ni mtoto. haachi kujadili watu.
Kamanda wa chama cha
Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA Ben Saanane amemshangaa Katibu wa
Itikadi na Uenezi CCM Nape Nnauye kwa kupita huku na huko akihoji elimu
za viongozi wa CHADEMA.

Akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara huko GOBA jana Saanane alisema
anamfahamu vema Nape kwani walisoma pamoja huko nchini India.Saanane
alieleza kwa kirefu jinsi Nape alivyotumia njia zisizo halali kupata
elimu yake.Saanane alimtaka Nape afunge mdomo kwani kamwe hawezi
kujilinganisha na John Mnyika kwa sababu ni sawa na kulinganisha na
mbingu na ardhi.

Akishangiliwa na umati mkubwa wa watu Saanane pia aliwatahadharisha
wananchi kuhusu Juliana Shonza na Mtela Mwampamba ambao walifukuzwa na
Chadema na sasa wanatembezwa majukwaa mbalimbali na CCM kwa lengo la
kuwatukana matusi viongozi wa Chadema.

Ben Saanane kwa siku za karibuni amejipatia umaarufu mkubwa ndani na nje
ya Chadema tangu pale alipofichua njama za usaliti ndani ya Baraza la
vijana la Chadema-BAVICHA na hatimaye wasaliti hao walioongozwa na
Juliana Shonza na Mtela Mwampamba wakafukuzwa uanachama.
 
Uko vizuri kwwenye kuhesabu mimba za watu....
nawe ulishammimba nani???

maneno ya kanga....
mtoto umbea umekujaa, kuingilia mambo yasiyo kuhusu....mbona Dk fastjt ana watoto kama timu ya mpira! watu tumetulia sababu haituhusu....
 
NDIO BEN,Baerezee bapate kuerewa mbivu na mbichi ni ipi.
 
attachment.php

Joan-Dishumimana Biriruta

Waswahili bwana wana msemo wao "Ukitaka kula nguruwe kula aliyenona!!
 
Kimbunga; Angalia usije ukawa unapita tu kama ulivyo ktk jina lako.

Si useme tu?

Watu ni kulipuana tu siku hizi. Kuja jamaa alipost hapa thread ya kumlipua Ben Saanane lakii naona bahati mbaya mods wameilipua! Kumbe Ben alisoma India? Nilikuwa sijui na huyo jamaa aliyemlipua alisema kwamba kuna kitu kilifanyika wakati Ben akiwa India (Sisemi kwa kuwa naona mods hawakuitaka).
 
Last edited by a moderator:
Kilichoandikwa ni hili hapa kwenye mitandao na Blogs ilirushwa na Eddah Kishimba.Ninatumaini Ben Saanane anaweza kujibu sasa

''Ben Saanane alikua mstari wa mbele kuporomosha siasa za majitaka kwa Nape NNauye na Ridhiwani kumbe yeye alikua akijaribu kujilinda kwa kuwa anajua alimwachia Mimba dada mmoja mtoto wa Afisa Ubalozi wa rwanda India anaitwa Joan ambaye baba yake ni mbunge wa rwanda akamshawishi kuitoa hiyo Mimba akishirikiana na ofisa mmoja wa Ubalozi wa nigeria India na vijana wengine wa kinigeria kitendo kilichopelekea mgogoro kati ya ubalozi wa Tanzania,Rwanda na Nigeria.Ubalozi wa Tanzania uliingia kwenye mgogoro kwa kuwa ulidai suala la mimba ambayo watu wamepeana haliwahusu.Hawa ndiyo vijana wa CHADEMA tulio nao.Mnyika nae alimpa mwandishi mmoja wa habari mimba akaitoa.Tuliambiwa Mbowe naye alimpa mimba Joyce Mukya huku Slaa akituhumiwa kuomba Penzi kwa sekretari wake pamoja na kuwa na kashfa ya kuiba mke wa Mtu. namba ya ubalozi wa rwanda New delh India hii hapa (+91) (11) 2665 9920.Suala hili lilileta Msuguano kuanzia balozi Nyamwasa hadi huyu wa sasa William Nkurunziza kwa kuwa mila za Rwanda haziruhusu msichana kufanya mapenzi kabla ya ndoa.Huyu hapa ndiye Joan-Dishumimana Biriruta''

View attachment 84461

mtoto kwa muonekano wa fasta fasta yupo safi huyu?

hivi Dr. fastjet naye ana wangapi wa nje ya ndoa?
 
Hii taarifa ni ya kusikitisha sana ingawa kwa katibu sio la kustaajabisha

Hata mimi nilisoma moja ya comments Facebook nikaona jinsi Eddah Kishimba alivyotukanwa.Ila kuna tuhuma nyingine ambazo eddah alitoa baada ya kuona ametukanwa kwenye suala la mimba nakumbuka post yake kuwajibu waliomshambulia pia

'Sina haja ya Mimba kama ni Mimba ninaweza kupata kutoka kwa mwanaume yeyote.Mimi ni msomi na nina kazi.Ben alishirikiana na maofisa ubalozi wahuni kama yeye wa Nigeria pamoja na vijana wa Nigeria kutengeneza paspoti fake na kumtorosha Joan baada ya kuona moto umewaka.Walitengeneza paspoti mbili za Uganda na Congo-DRC.Ben Njoo useme hapa kama hujashirikiana na Doreen(Mke wa mbunge wa Mbale kule Uganda) aliyekua anafanya PHD Chuo kikuu cha Jawahlal Nehru kumtorosha Joan.Njoo ukatae umafia wenu pale Delh na wahuni wa Sudan,Nigeria,Congo na wayahudi waliokua wakitengeneza Dola fake,paund na EURO.Wakati huyu anataka kuwa Mwenyekiti wa vijana ndiye anayeongoza kwa uhuni na aliyekubuhu kwa umalaya na kubadili wasichana kama babu yao Slaa na akina john Mnyika.Kuanzia leo nitakua namwaga picha mfululizo na huu ni mwanzo tu akifuta huku namwaga tanuru,blogs na vyombo vya habari.Shetani mkubwa wewe!'
 
Kwi..Kwi...Kwi...Masalia nimeamini mmeishiwa! Kila nikitaka kucheka nitakuwa nasoma hii post ya huyu masalia.
 
Kwi..Kwi...Kwi...Masalia nimeamini mmeishiwa! Kila nikitaka kucheka nitakuwa nasoma hii post ya huyu masalia.

Ben akimjibu huyo Eddah Kishimba

''Eddah Kishimba...Ni jambo la ajabu kuwa na mfanyakazi wa umma mwenye mawazo kama haya.Ukitaka kuniita shetani niite,call me whatever name you wish.haitanifanya kuwa Malaika kuwa CCM either.Account ya Debra Gamba Ulikua ukiitumia huku na ipo in a proper place.Kama nilimtorosha Joan illegally kwanini polisi wa kimataifa(INTERPOL) wasinikamate?Si lazima mwanaume unayetaka kuwa naye akukubalie.Every guy has got his own taste.The same applied to Ladies.Behave yourself.You can channel your anger and frustrations anywhere else.....
I think I'm nearing my limit of being nice to you. If it isn't sillyness like this, it's that you're dissing me after I just gave you an encouraging word. Get it under control ....Njoo uthibitishe kama Joan alitoa mimba Yangu.Watakutumia kwa kuwa wanashindwa kukabiliana na mimi,ipo siku nitakutana nao kwenye jukwaa moja iwe ni mdahalo,mjadala kwenye vyombo vya habari e.t.c.Have fun on your own!'
 
Back
Top Bottom