who r zis pple?
kaka Naomba nikuambie kuna habari moja niliona inasikitisha sana. For the sake of your Christian health achia hapo hapo.
who r zis pple?
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.
Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!
Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.
Naanza kupata wasiwasi na utumishi wa huyu ndugu!
i guess you are NOT christian
Well I believe that Benny Hinn is a true man of God.This is nothing but the devils doing to destroy marriages that God has put together.I pray in Jesus name that things will work out in their marriage;and to every evil tongue that rises against Benny and any other servants of God may it be condemned.Ill be praying for you my brother in Christ,may God be with you always.Amen
http://www.bennyhinn.org/emailletters/pbhletter.cfm?referrer=na_eb022510Ben ni mtumishi wa Mungu hawezi kuachana na mkewe na wamekuwa watumishi wa mda mrefu wote wawili kwa jaribu kama hilo haliwezi kuwashinda ni magazeti tu na kupakana matope basi
Hao ndiyo watumishi wa kizazi cha leo!Mbona yule aliyeko Arusha -Kisongo naye alitaliki kaoa secretary wake!!!!!!
Yeah man! it's so sad!Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.
Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!
Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.
Naanza kupata wasiwasi na utumishi wa huyu ndugu!
A person who studies others becomes wise, but he who studies he who studies himself becomes enlightened!
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kuna habari kuhusu Ben Hinn kuachana na mkewe!
Wanasema, walikuwa wamekwisha achana tokea 26th January 2010, ila mkewe anataka waachane kisheria.
Hawajesema chanzo cha ugomvi zaidi ya kudai kutokuelewana kwa muda mrefu, na tofauti zao kushindwa kuwa resolved!
Dini ya kikristo hairuhusu talaka ya aina hii.
Naanza kupata wasiwasi na utumishi wa huyu ndugu!
Hiyo habari ya benn Hinn kuachana na mkewe mimi niliisoma february mwaka huu kwenye gazeti moja la Uganda maarufu kwa kuandika habari za mastaa red pepper. Gazeti liliandika kuwa mkewe bann hinn anaomba talaka kwa sababu wakati mtumishi wa mungu yuko Uganda alifanya mapenzi na pastor wa kiume, haya sio mawazo yangu nimeyatoa kwenye gazeti hili. waweza tembelea http://watchmanafrica.blogspot.com kwa maelezo zaidi
Ben ni mtumishi wa Mungu hawezi kuachana na mkewe na wamekuwa watumishi wa mda mrefu wote wawili kwa jaribu kama hilo haliwezi kuwashinda ni magazeti tu na kupakana matope basi
Ni mchango mzuri sana huu. AsanteMsingi mkuu wa imani yetu ya Kikristo ni katika Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wetu; kama njia pekee ya uzima kuufikia ufalme wa milele. Viongozi wetu wa kiroho ni binadamu wenzetu waliojaliwa karama mbalimbali na Mwenyenzi Mungu ili watusaidie katika safari hiyo. Hata kama tunabarikiwa sana na huduma za viongozi wa kiroho, itakuwa kosa kubwa kama nguvu ya Ukristo wetu itajikita katika binadamu wenzetu badala ya Kristo pekee kwani nao (viongozi) wanahitaji kuitafuta ile Nuru katika maisha yao siku zote. Hata Mitume pamoja na kazi ngumu sana walizofanya ikiwa ni pamoja na kujitoa mhanga hawakuwahi kuchukua nafasi ya Kristo.
Ninachokiona nyakati hizi ni kuwa viongozi wa kiroho wamekuwa na umaarufu mkubwa ambao wakati mwingine hufunika jina Kuu la Kristo kiasi kwamba uono wa wakristo huishia kwao. Wakipata matatizo basi utasikia maelfu wakitetereka katika imani. Wakipotoka na kwenda nje ya Maandiko ndio taabu kabisa maana wengi watawafuata hukohuko bila wenyewe kutafuta kweli imesimamia wapi.
Kwa hili la Benny Hinn na wahubiri wengine wanaopatwa na matatizo, turudi kwenye Biblia ili kuimarisha u-Kristo wetu, tuweze hata kuwasaidia (kuwaombea) wote wenye matatizo (ikiwa ni pamoja na sisi wenyewe) tusijejikuta tukiingia kwenye ushabiki usiokuwa na tija kiroho.