maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,507
- 6,455
- Thread starter
-
- #61
Umenishauri vizuri, lakini unawezaje kuwaweka mbali na hiyo kitu wakati tayari wameshaijua? Sio ilitakiwa uwaepushe kabla hawajaijua ?Huyu Ben 10 anaumiza sana akili ya wazazi hasa wenye boys. Pale kwangu Nina 2 boys, yaani Kila kitu chao wanataka Ben 10. Mmoja ndo hadi shule wanamwita Ben 10. Tumeshanunua sana hizo games za Ben 10 mpaka tumechoka. School bags, saa, jackets, shoes,........, usipoleta vya Ben 10 wala hujawabamba, Yaani huyo Ben 10 ni janga. Kama utaweza kumweka mwanao mbali na Ben 10 utakuwa umefanya la maana sana. Kama unataka kumwingiza kwenye huo ulimwengu basi kila la heri
Smile mi ni mzazi sawa, lkn si wa zamani kiivyo! Ila muda tena wa kuangalia tv,au kujua what's going on in cartoon au movie industry nimekosa kabisa! Nimefanya kila njia nirudi kwenye normal life nimeshindwa! Nilikua nawatch movie sita every weekend lkn now nina movie 22 nyumbani mwezi wa pili nimeshindwa! Pressure za noti zinaninyima fursa ya kufurahia maisha sana! Lkn mwisho wa siku mi naamin ni mtoto wa mjini japo wa miaka ya tisini mwishoni na elf mbil mwanzoniWatoto digital wazazi analog basi full majangaaaa
mamaa,huwezi kumnunulia mtoto kila kitu! Vingine utamuharibu au ni gharama sana !Hahaha!!! Ndo mana huwa najihami mapema kumnunulia mwanangu vitu, asije siku akanililia mbele za watu.
Amu! Kama uko tayari kuna rosti na ndizi mbili pale uwanja wa sanaa oposite na san siro anytime ni pm
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Smile mi ni mzazi sawa, lkn si wa zamani kiivyo! Ila muda tena wa kuangalia tv,au kujua what's going on in cartoon au movie industry nimekosa kabisa! Nimefanya kila njia nirudi kwenye normal life nimeshindwa! Nilikua nawatch movie sita every weekend lkn now nina movie 22 nyumbani mwezi wa pili nimeshindwa! Pressure za noti zinaninyima fursa ya kufurahia maisha sana! Lkn mwisho wa siku mi naamin ni mtoto wa mjini japo wa miaka ya tisini mwishoni na elf mbil mwanzoni
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
hapo sasa, wazazi wa siku hizi tunajidai tunataka kuwapa watoto wetu chochote wanachotaka, shida ndo inaanzia hapo.Umenishauri vizuri, lakini unawezaje kuwaweka mbali na hiyo kitu wakati tayari wameshaijua? Sio ilitakiwa uwaepushe kabla hawajaijua ?
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Akili nashanganykiwa kapsa mleu! Nkiki! Sasa ninunue au nisinunue ?
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
mamaa,huwezi kumnunulia mtoto kila kitu! Vingine utamuharibu au ni gharama sana !
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nimejitahidi kumweka mbali mwanangu na huyu Freemason bila mafanikio.
Kila nikikanyaga home dogo ananiletea remote niweke Ben10 na kama hayupo ni kilio, alikomjulia sifahamu kwa kweli ila watoto wakishamjua wanakuwa addicted.
acha ushamba,
wewe kweli ndio mbumbamtengenezee saikolojia kuwa hilo ni shetani na kama akiliendekeza ataenda motoni. Upuuzi wa utandawazi ndio huo, kwetu kunakuwa kwao na si kinyume. Angalia jinsi uchumi unavyoflow kwenda marekani kupitia huu ujinga ujinga...
wewe kweli ndio mbumba
Nina kama miezi minne hv mtoto wangu ananisumbua kuhusu hii kitu anataka movies au something animated ananipigia story ambazo nashindwa kuziconnect naomba mnisaidie jamani ni nn hii? Is it a cartoon? Or something else? Naweza kupata wapi details zake?
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
let me google this for you...
hahaha kuzaa si kazi, kazi kulea
in which way?FP that video clip changed something in my mind/thoughts
watu8 basi siku moja niko ofisini kwa elizabeth dominic , si akaniuliza swali kumbe akawa ana gugo majibu, uzuri nikamjibu exactly kama gugo, mara ghafla akasema "daaah kumbe jibu lako la kweli nimeangalia hapa" nikaona duuuuh kumbe alikuwa ananipima tu aone kama nataka kumuingiza chaka