Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 14,953
- 34,965
Kasome mkuuNitasoma zaidi hili jambo
Kasome mkuuNitasoma zaidi hili jambo
Royal Jelly inaongeza😜🤸Wanaongeza nguvu za kiume mkuu ?
👍👍🙏Ni mada iliyonivutia sana! Nitaisoma kwa utulivu.. Shukrani sana kiongozi💪🏿🙏🏿
Ebu idadavue hii kidogo, na uongezaji wake ukoje ? Iwe kidogo nachelewa hata vi dk viwili aisee zikiwa tatu sio mbayaRoyal Jelly inaongeza😜🤸
Asante sana. Nimeongeza kitu kipya kwenye ubongo wangu leoInahitaji maelezo marefu kidogo ila kifupi ni kwamba hiki ni chakula maalumu ambacho hulishwa malkia wa nyuki pekee kwa maisha yake yote, hii humsaidia kuwa na umbo kubwa, kutaga mayai mengi na kuishi maisha marefu tofauti na nyuki wa kawaida.
Nyuki wa kawaida anaweza kuishi siku 40 hadi 60 ila malkia anaishi miaka 3 mpaka 5 nadhani unaona tofauti hapo na hata ukimuona huyo malkia wa nyuki anang'aa sana rangi yake kama dhahabu hivi.
Kwahio kuna nyuki maalumu ambao huzalisha haya maziwa kutoka midomoni mwao na kumlisha malkia.
Ni somo refu ila unaweza kusoma mitandaoni andika "Royal Jelly" au maziwa ya nyuki utaelewa zaidi. View attachment 3509147
Hapana ni tajiri kweli, sio mtanzania.Ya kichina hiyo.. OG haiwezi😂
Mashariki ya kati?Hii biashara ni ya ajabu sana, Yaani malipo yake ni cash
Black market ilishamiri sana walipo piga marufuku uvuaji wa samaki kwa ajili ya mayai
Nimenunua sana na kuuza ila kupitia mkono wa tatu
Ila mmnunuzi mzungu aliniambia kununua ni lazima niende na cash kwenye briefcase.
Biashara kichaa na Ina hela haswa
Zinawekwa ujazo wa 50g na 100g
Mafia wa kirusi wanafanya sana hii biashara