Belt ya kuingiza tumbo ndani inauzwa

Belt ya kuingiza tumbo ndani inauzwa

unlucky

Senior Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
199
Reaction score
56
Haya wanadada naona bora nijihangaishe na biashara labda mtaniunga mkono belt ya kuingiza ndani tumbo inauzwa mpya mwenue interest aniprivate kuna na vipodozi vingi tu unaorder naleta asanteni ndo hy belti kama mnavyoiona hapo 1394823931321.jpg
 
Laki moja tu ni origanal kama unavyoiona mwisho elfu tisini
 
Wanaotaka used phone in gud condition bei nzuri kuna nokia lumia na kuna nokia asha anae taka anijulishe nitatuma picha hazijatumika sana nokia asha ndo hazijatumika kabisa na lumia mwezi mmoja tu asanteni
 
weka bei sasa
 
Back
Top Bottom